-
Upinzani Ethiopia wataka kufanyika mazungumzo ya kitaifa
Jan 24, 2018 23:30Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Ethiopia ametoa wito wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa kuhusu mgogoro wa kisiasa unaoshuhudiwa nchini humo.
-
Ethiopia yamuachia huru kinara wa upinzani, wafungwa 115
Jan 17, 2018 11:37Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Ethiopia ambaye alikuwa gerezani ameachiwa huru, ikiwa ni jitihada za serikali za kutekeleza ahadi yake ya kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa.
-
Kuuawa zaidi ya Wabaharain 200 kunatokana na ukandamizaji wa utawala wa Bahrain na kimya cha jamii ya kimataifa
Jan 14, 2018 23:47Sheikh Mortadha al-Sandi, Kiongozi wa Harakati ya Wafa Al-Islami ya nchini Bahrain, sambamba na kubainisha kwamba utawala wa Aal-Khalifa unalipiza kisasi cha kisiasa dhidi ya wanamapinduzi wa nchi hiyo amesema kuwa, hadi sasa zaidi ya wanaharakati 200 wa nchi hiyo wameuawa kupitia ukandamizaji wa watawala dhidi ya wapinzani wao.
-
Upinzani Gabon wapinga kuondolewa kikomo cha mihula ya urais
Jan 13, 2018 00:14Vyama vya upinzani nchini Gabon vimepinga vikali hatua ya Bunge la nchi hiyo ya kuifanyia marekebisho katiba, kwa lengo la kumuondolea visiki njiani Rais Ali Bongo wa nchi hiyo ili aendelea kung'ang'ania madaraka.
-
Kiongozi wa upinzani Uganda ataka kususiwa uchaguzi
Jan 06, 2018 04:44Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dakta Kizza Besigye amewataka wananchi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki kutoshiriki uchaguzi mkuu ujao, na badala yake waunge mkono jitihada zake za kutamatisha utawala wa Rais Yoweri Kaguta Museveni.
-
Mwanasheria Mkuu wa Kenya amuonya Odinga dhidi ya kujiapisha
Dec 07, 2017 11:30Mwanasheria Mkuu wa Kenya ametahadharisha kuhusu mpango wowote wa kumuapisha kinara wa upinzani nchini humo Raila Odinga kama 'rais wa watu' wiki ijayo.
-
Odinga 'kujiapisha' Disemba 12, kupinga ushindi wa Kenyatta UN
Nov 29, 2017 04:52Kinara wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema ataapishwa kuwa rais 'halali' wa Kenya Disemba 12, wakati nchi hiyo itakuwa inaadhimisha Siku ya Jamhuri.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Burundi kuanza leo Arusha, Tanzania
Nov 26, 2017 23:32Duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi inaanza leo Jumatatu huko Arusha, kaskazini mwa Tanzania, na itaendelea hadi Disemba 8.
-
Kenyatta amualika Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake
Nov 25, 2017 00:52Rais Uhuru Kenyatta amemualika 'ndugu yake' Raila Odinga katika sherehe za kuapishwa kwake zikatazofanyika katika mji mkuu Nairobi Jumanne ijayo ya Novemba 28.
-
Taharuki Zimbabwe, Mugabe ang'ang'ania madaraka, AU na UN zatoa kauli
Nov 16, 2017 12:40Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye yuko katika ncha ya kuuzuliwa amekataa kuachia madaraka akisisitiza kuwa yeye ndiye kiongozi halali wa nchi hiyo.