-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan asisitiza kupatiwa ufumbuzi kadhia ya Palestina
Oct 24, 2022 07:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan amesisitiza kuwa, kupatiwa ufumbuzi kadhia ya palestina ni ufunguo wa kutatuliwa matizo ya eneo la Asia Magharibi.
-
Onyo la Iran kwa Umoja wa Ulaya
Oct 07, 2022 10:57Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na Josep Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya.
-
Ombi la kuilazimisha Marekani itimize wajibu wake wa uenyeji wa Umoja wa Mataifa
Sep 13, 2022 05:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema katika mahojiano kwamba Marekani na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wana wajibu wa kuhakikisha ushiriki wa wawakilishi wote wa nchi wanachama katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unatimia.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu kuunga mkono sera ya China Moja
Aug 05, 2022 07:10Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Iran kwa sera ya "China Moja" na kusema: 'Hatua za kichochezi za Marekani zimekuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa kimataifa.'
-
Safari ya Lavrov barani Afrika; juhudi za Russia za kutafuta fursa mpya
Jul 26, 2022 06:33Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameanza safari yake ya siku 5 barani Afrika kwa kuitembelea Misri ambako aliwasili Jumapili, Julai 24.
-
Kusainiwa mkataba wa mauzo ya nafaka kutoka Ukraine, mwanzo wa kutatua mgogoro wa chakula duniani
Jul 23, 2022 11:12Jana Ijumaa, Ukraine, Uturuki na Umoja wa Mataifa zilitia saini makubaliano ya kutatua mgogoro wa nafaka duniani. Mkataba huo ulitiwa saini kati ya Oleksandr Kubrakov, Waziri wa Miundombinu wa Ukraine, Kholusi Akar Waziri wa Ulinzi wa Uturuki, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergei Shoigu.
-
Kuongezeka upinzani barani Ulaya dhidi ya kuwekewa vikwazo vya mafuta Russia
May 06, 2022 02:37Licha ya vitisho vya Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuiwekea vikwazo vya mafuta Russia katika fremu ya kifurushi cha sita cha vikwazo dhidi ya nchi hiyo, lakini jambo hilo linaonekana kukabiliwa na upinzani mkali barani humo na hata baadhi ya viongozi wa Marekani kutoa onyo dhidi ya hatua hiyo.
-
Mivutano inayoongezeka katika uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 04, 2022 02:33Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika kipindi kipya na cha wasiwasi na mivutano baada ya kuanza mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kuwa pamoja na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.
-
Sisitizo la Iran la kurudishwa amani ya kudumu katika eneo kwa kuondolewa ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina
Apr 22, 2022 08:16Hussein Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa amani ya kudumu katika eneo la Asia Magharibi itapatikana tu kwa kuondolewa kikamilifu ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina, kurejea wakimbizi wote katika ardhi zao za jadi na kuainishwa mfumo wa utawala wa baadaye wa Palestina kwa msingi wa kura ya maoni pamoja na kuundwa serikali huru katika ardhi hizo.
-
Safari ya Lavrov nchini India na sisitizo la kutumiwa sarafu ya Ruble katika biashara
Apr 03, 2022 07:03Sergey Viktorovich Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amefanya ziara ya siku mbili ya kuitembelea kikazi India na kuonana na waziri mwenzake wa nchi hiyo Subrah Jaishankar na waziri mkuu wa India Narendra Modi.