Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Wizara ya Mambo ya Nje

  • Zarif: Eneo la Ghuba ya Uajemi lichague ama amani au ukosefu wa uthabiti

    Zarif: Eneo la Ghuba ya Uajemi lichague ama amani au ukosefu wa uthabiti

    Oct 22, 2020 04:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema eneo la Ghuba ya Uajemi sharti likhitari moja kati ya mambo mawili, ama amani au ukosefu wa uthabiti.

  • Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni unaendelea Ukingo wa Magharibi

    Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni unaendelea Ukingo wa Magharibi

    Oct 02, 2020 23:12

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni unaendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, tofauti kabisa na madai ya Imarati na Bahrain ya kusimamishwa ujenzi wa vitongoji hivyo baada ya nchi hizo mbili za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel.

  • Iran: Historia haitowasamehe wauaji na wasaliti

    Iran: Historia haitowasamehe wauaji na wasaliti

    Sep 30, 2020 23:02

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa, historia haiwezi kamwe kuwasamehe wauaji na wasaliti.

  • Iran yaitaka Armenia na Azerbaijan zisitishe mapigano, makumi wauawa

    Iran yaitaka Armenia na Azerbaijan zisitishe mapigano, makumi wauawa

    Sep 28, 2020 08:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Armenia na Azerbaijan zijizuie na zisitishe mapigano yanayoshuhudiwa katika mpaka wa nchi mbili hizo tokea jana Jumapili.

  • Iran: Njia yoyote ya uchukuaji hatua inayopuuza matakwa ya taifa la Palestina ni batili

    Iran: Njia yoyote ya uchukuaji hatua inayopuuza matakwa ya taifa la Palestina ni batili

    Sep 19, 2020 00:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza kuwa: Njia yoyote ile ya uchukuaji hatua ikiwemo ya "Muamala wa Karne" ambayo haitatilia maanani matakwa ya taifa la Palestina ni batili.

  • Waziri Zarif amjibu Pompeo: Hakuna kitu kipya kitakachofanyika Septemba 20

    Waziri Zarif amjibu Pompeo: Hakuna kitu kipya kitakachofanyika Septemba 20

    Sep 18, 2020 03:39

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya hivi karibuni ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo juu ya njama za Washington za kutaka kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran kwa kutumia mchakato unaofahamika kama 'Snapback Mechanism' na kusisitiza kuwa, 'Hakuna kitu maalumu kitakachofanyika Jumapili ya Septemba 20.'

  • Zarif: Serikali ya Trump imetengwa na kufedheheka tena katika medani ya kimataifa

    Zarif: Serikali ya Trump imetengwa na kufedheheka tena katika medani ya kimataifa

    Aug 21, 2020 06:38

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia upinzani wa jamii ya kimataifa dhidi ya hatua ya Marekani ya kutaka kutumia vibaya taratibu zilizowekwa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA za kurejesha upya vikwazo ilivyokuwa imewekewa Iran na kusema, kwa mara nyingine tena serikali ya Trump imetengwa na kufedheheka katika medani ya kimataifa.

  • Zarif: Wanaotumia vibaya mlipuko wa Beirut wanataka kuteteresha amani ya Lebanon

    Zarif: Wanaotumia vibaya mlipuko wa Beirut wanataka kuteteresha amani ya Lebanon

    Aug 14, 2020 09:12

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Waziri Mkuu wa Lebanon mjini Beirut na kusema kuwa, wanaotumia vibaya mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut wana nia ya kuyumbisha amani ya Lebanon.

  • Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama

    Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama

    Jun 26, 2020 09:01

    Baada ya matukio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilitumia kisingizio cha kupambana na ugaidi duniani ili kuzishambulia na kuzikalia kijeshi Afghanistan na Iraq.

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran:

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: "Uhuru" hauna nafasi yoyote katika fikra za viongozi wa Marekani

    Jun 20, 2020 23:14

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran imetangaza kuwa miaka mingi ya uporaji na vitisho imethibitisha kwamba "uhuru wa mtu mwingine" hauna nafasi yoyote katika fikra za maafisa wa serikali ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS