• Salehi: Iran itaendelea na miradi yake ya nyuklia kwa nguvu zake zote

    Salehi: Iran itaendelea na miradi yake ya nyuklia kwa nguvu zake zote

    Jan 23, 2019 04:26

    Mkuu wa taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea na miradi yake ya nyuklia katika nyuga za utafiti, uvumbuzi, urutubishaji urani, ujenzi wa vinu na mashinepewa (centrifuge) mpya kwa nguvu zake zote.

  • Iran yapata mafanikio mapya katika uga wa teknolojia ya nyuklia + Video

    Iran yapata mafanikio mapya katika uga wa teknolojia ya nyuklia + Video

    Jan 13, 2019 12:57

    Mkuu wa Shirika la Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ali Akbar Salehi amesema nchi yake imeweza kupata mafanikio mapya katika uga wa teknolojia ya nyuklia kwa kuchukua hatua za awali za kutegeneza asilimia 20 ya fueli ya nyuklia.

  • Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani

    Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani

    Nov 30, 2018 03:55

    Kenya imeomba msaada wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuisaidia kuimarisha matibabu ya saratani katika hospitali mbili kubwa nchini humo na pia kueneza huduma hizo za matibabu katika miji mingine mitatu.

  • Salehi: Msimamo wa Marekani wa kujitoa katika JCPOA si wa maana

    Salehi: Msimamo wa Marekani wa kujitoa katika JCPOA si wa maana

    Nov 26, 2018 23:11

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa msimamo wa Mrekani wa kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA si wa maana na ni kwamba, msimamo huo unaonesha jinsi Marekani isivyo na mwamana katika ahadi zake za kimataifa.

  • IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    Nov 23, 2018 04:29

    Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Marekani, adui wa amani na usalama wa dunia

    Marekani, adui wa amani na usalama wa dunia

    Oct 25, 2018 23:04

    Uamuzi uliochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani wa kujiondoa katika mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati (INF) ambao umechukuliwa katika fremu ya sera za Trump za kujiondoa katika mikataba ya kimataifa, umekabiliwa na upinzani mkubwa wa viongozi wa nchi na jumuiya mbalimbali za kimataifa.

  • Wamarekani: Korea Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia!

    Wamarekani: Korea Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia!

    Oct 06, 2018 22:56

    Watafiti kadhaa ya Marekani wamedai kwamba, uchunguzi wao umebaini kuwa Korea Kaskazini inaendelea na shughuli zake za nyuklia huku ikiilaumu Washington kuwa inapuuza kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa viongozi wa nchi hizo mbili mwezi Juni mwaka huu.

  • Onyo la Waziri wa Ulinzi wa Marekani kwa Russia juu ya kukiuka mkataba wa makombora

    Onyo la Waziri wa Ulinzi wa Marekani kwa Russia juu ya kukiuka mkataba wa makombora

    Oct 06, 2018 04:52

    Moja kati ya masuala muhimu katika mivutano iliyopo kati ya Marekani na Russia ni mjadala unaohusiana na mkataba wa silaha. Moscow na Washington zina tofauti kubwa katika uwanja wa mkataba wa makombora ya wastani kwa kifupi INF.

  • Baraza Kuu la UN; uwanja wa kukejeliwa Trump, jukwaa la mazingaombwe ya Netanyahu

    Baraza Kuu la UN; uwanja wa kukejeliwa Trump, jukwaa la mazingaombwe ya Netanyahu

    Sep 28, 2018 10:44

    Kikao cha kila mwaka cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kimefanyika, huku walimwengu wakijionea igizo jengine la usanii wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel; utawala ambao una mamia ya vichwa vya nyuklia, silaha ambazo ni tishio na hatari kwa usalama wa dunia. Hata hivyo kutokana na kuungwa mkono na Marekani, utawala huo khabithi hauwajibiki kwa taasisi yoyote ile duniani.

  • Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump

    Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump

    Aug 26, 2018 22:48

    Katika kipindi cha utawala wake nchini Marekani, Rais Donald Trump amejaribu kufanya mabadiliko anayoyaona kuwa makubwa katika uga wa ndani na nje ya nchi hiyo ili kwa njia hiyo aweze kujidhihirisha kuwa rais anayependwa na aliyefanikiwa zaidi katika utekelezaji wa majukumu yake nchini humo.