Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ya nyuklia

  • Tuhuma na misimamo ya kurudiwarudiwa ya Marekani kwa ulimi wa Joe Biden katika Umoja wa Mataifa

    Tuhuma na misimamo ya kurudiwarudiwa ya Marekani kwa ulimi wa Joe Biden katika Umoja wa Mataifa

    Sep 26, 2024 03:58

    Jumanne ya wiki hii, rais wa Marekani, Joe Biden, alitoa hotuba yake ya mwisho katika kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kukariri madai ya uongo ya siku zote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na dhidi ya kambi ya Muqawama. Rais wa Marekani alidai kuwa eti serikali yake inapigania kuleta amani na utulivu katika ukanda wa Asia Magharibi.

  • Balozi wa Iran UN: Maghala ya nyuklia ya Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia

    Balozi wa Iran UN: Maghala ya nyuklia ya Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia

    Sep 05, 2024 10:43

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa kikanda na wa ulimwengu mzima.

  • Muhammad Eslami: Sera za milango wazi zipo katika ajenda ya kazi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Muhammad Eslami: Sera za milango wazi zipo katika ajenda ya kazi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Aug 09, 2024 02:47

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa nchi za Magharibi zinaituhumu Iran kuwa inaficha sekta yake ya nyuklia, ilhali Tehran inatekeleza sera za milango wazi katika ajenda yake.

  • Gharama za mradi wa makombora ya nyuklia ya US zafikia dola bilioni 160

    Gharama za mradi wa makombora ya nyuklia ya US zafikia dola bilioni 160

    Jul 06, 2024 11:21

    Gharama za kufanikisha mradi wa kuzalisha makombora ya nyuklia wa Marekani zimeripotiwa kuongezeka hadi dola bilioni 160.

  • Russia: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia inazidi kuongezeka

    Russia: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia inazidi kuongezeka

    Jun 26, 2024 11:49

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametahadharisha kuwa, madola yenye silaha za nyuklia yapo katika hatari ya kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja.

  • "Vitisho vya nyuklia vya Israel vitabadilisha mlingano wa usalama katika eneo"

    May 27, 2024 02:20

    Katibu wa Baraza la Kistratajia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema vitisho vinavyotolewa na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kutumia silaha za nyuklia huenda vikawalazimisha wengine kuangalia upya sera zao za nyuklia katika eneo la Asia Magharibi.

  • Iran: Tutaangalia upya sera ya nyuklia iwapo uwepo wetu utatishiwa

    Iran: Tutaangalia upya sera ya nyuklia iwapo uwepo wetu utatishiwa

    May 10, 2024 02:10

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu italazimika kuangalia upya kanuni yake ya nyuklia iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatishia uwepo na usalama wa taifa hili.

  • Grossi asisitiza tena kutokuwepo shughuli za kijeshi za nyuklia nchini Iran

    Grossi asisitiza tena kutokuwepo shughuli za kijeshi za nyuklia nchini Iran

    Apr 17, 2024 02:28

    Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesisitiza kuwa, hakuna nyaraka zozote zinazothibitisha utengenezaji wa silaha za nyuklia nchini Iran na kuwa, mivutano ya hivi sasa haijavuruga mchakato wa ufuatiliaji wa wakala huo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.

  • Kutolewa pendekezo la kuanzisha klabu ya nyuklia ya BRICS kwa kuishirikisha Iran

    Kutolewa pendekezo la kuanzisha klabu ya nyuklia ya BRICS kwa kuishirikisha Iran

    Mar 27, 2024 12:21

    Mkutano wa 13 wa kimataifa wa Atomexpo 2024 huko Sirius, Russia umetoa pendekezo la kuasisi klabu ya nyuklia ya nchi wanachama wa kundi la BRICS kwa kuishirikisha Iran.

  • Msemaji wa AEOI: Iran inahitaji vituo 20 vya nyuklia

    Msemaji wa AEOI: Iran inahitaji vituo 20 vya nyuklia

    Mar 23, 2024 07:45

    Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu inapasa kuwa na vituo kati ya 15 na 20 vya nyuklia ili kujidhaminia mahitaji yake ya nishati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS