-
SAUTI: Waislamu wafuatilia kwa karibu kesi ya aliyemtukana Mtume Muhammad SAW, Zanzibar
Jan 06, 2017 14:55Waislamu visiwani Zanzibar na ukanda mzima wa Afrika Mashariki wanaendelea kufuatilia kwa karibu hatua zinazochukuliwa na vyombo vya sheria vya Zanzibar kuhusiana na Abdallah Saleh Abdallah aliyeonekana kwenye mkanda wa video akitoa maneno machafu mno dhidi ya Uislamu.
-
SAUTI: Aliyemtukana Mtume Muhammad SAW Zanzibar azidi kulaaniwa
Jan 01, 2017 02:51Wiki hii, Waislamu wa visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla wameshtushwa na kulaani vikali kutukanwa Bwana Mtume Muhamma SAW visiwani humo.
-
Maalim Seif kuishitaki serikali ya Zanzibar ICC hii leo
Jul 22, 2016 03:41Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad anatazamiwa kuwasilisha mashtaka dhidi ya serikali ya Zanzibar hii leo mbele ya Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC).
-
Serikali: Mripuko wa kipindupindu umeua watu 45 Zanzibar
Apr 28, 2016 10:45Wizara ya Afya ya Zanzibar imesema kwa akali watu 45 wamepoteza maisha kutokana na mripuko wa kipindupindu tangu mwezi uliopita wa Machi hadi sasa.
-
Shein ateua baraza la mawaziri, asema hatishwi na 'kelele' za CUF
Apr 10, 2016 03:26Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta Ali Mohamed Shein ametangaza Baraza la Mawaziri lenye wizara 13 huku akisema kuwa hababaishwi na hatua ya chama kikuu cha upinzani visiwani humo CUF kutoitambua serikali yake.
-
Dakta Shein aapishwa kushika hatamu ya uongozi Zanzibar
Mar 24, 2016 11:53Rais mteule wa Zanzibar, Dakta Ali Mohamed Shein ameapishwa leo kushika hatamu ya uongozi visiwani humo. Dakta Shein ameapishwa leo kufuatia ushindi alioupata Jumapili iliyopita wa kura 299,982 sawa na asilimia 91.4 ya kura zote halali 328,327 zilizopigwa katika uchaguzi marudio.
-
Jamii ya Kimataifa yatoa wito wa mazungumzo Zanzibar baada ya uchaguzi
Mar 22, 2016 00:29Jamii ya Kimataifa imetoa wa kuendelea kutafutwa ufumbuzi wa kisiasa Zanzibar licha ya kurudiwa uchaguzi mkuu katika visiwa hivyo ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
-
Jamii ya Kimataifa yatoa wito wa mazungumzo Zanzibar baada ya uchaguzi
Mar 21, 2016 23:07Jamii ya Kimataifa imetoa wa kuendelea kutafutwa ufumbuzi wa kisiasa Zanzibar licha ya kurudiwa uchaguzi mkuu katika visiwa hivyo ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
-
Shein ashinda uchaguzi wa rais Zanzibar kwa 91%, Maalim Seif 1.9% licha ya kususia
Mar 21, 2016 11:45Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC imemtangaza mgombea wa kiti cha rais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dakta Ali Muhammed Shein kuwa mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana visiwani humo.
-
Kura zahesabiwa baada ya uchaguzi Zanzibar
Mar 20, 2016 12:21Zoezi la kuhesabu kura linaendelea visiwani Zanzibar baada ya uchaguzi kufuatia matokeo ya uchaguzi uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015 kufutwa na tume ya uchaguzi ya visiwa hivyo ZEC.