SAUTI: Aliyemtukana Mtume Muhammad SAW Zanzibar azidi kulaaniwa
Jan 01, 2017 06:21 UTC
Wiki hii, Waislamu wa visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla wameshtushwa na kulaani vikali kutukanwa Bwana Mtume Muhamma SAW visiwani humo.
Hivi karibuni, mzaliwa mmoja wa Zanzibar aliuvunjia heshima Uislamu na hasa Mtume Mutukufu Muhammad SAW. Wazanzibari wametaka vyombo vya dola kuchukua hatua kali dhidi ya mtu huyo.
Mwandishi wetu wa Zanzibar, Hassan Issa Ali ametutayarishia ripoti hiyo hapo juu.
Tags