SAUTI: Waislamu wafuatilia kwa karibu kesi ya aliyemtukana Mtume Muhammad SAW, Zanzibar
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i22963-sauti_waislamu_wafuatilia_kwa_karibu_kesi_ya_aliyemtukana_mtume_muhammad_saw_zanzibar
Waislamu visiwani Zanzibar na ukanda mzima wa Afrika Mashariki wanaendelea kufuatilia kwa karibu hatua zinazochukuliwa na vyombo vya sheria vya Zanzibar kuhusiana na Abdallah Saleh Abdallah aliyeonekana kwenye mkanda wa video akitoa maneno machafu mno dhidi ya Uislamu.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Jan 06, 2017 14:55 UTC

Waislamu visiwani Zanzibar na ukanda mzima wa Afrika Mashariki wanaendelea kufuatilia kwa karibu hatua zinazochukuliwa na vyombo vya sheria vya Zanzibar kuhusiana na Abdallah Saleh Abdallah aliyeonekana kwenye mkanda wa video akitoa maneno machafu mno dhidi ya Uislamu.

Hadi sasa vyombo vya sheria Zanzibar vimechukua hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumpandisha kizimbani mtu huyo aliyewakasirisha mno Waislamu. Waislamu, taasisi na vyombo mbalimbali vinaendelea kufuatilia kwa karibu kesi ya mtu huyo. Mwandishi wa Radio Tehran ametukusanyia taarifa ifuatayo...