Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zimbabwe

  • Mnangagwa kuteuwa baraza lake la mawaziri wiki hii; je atawaacha wakongwe wa zama za Mugabe?

    Mnangagwa kuteuwa baraza lake la mawaziri wiki hii; je atawaacha wakongwe wa zama za Mugabe?

    Nov 27, 2017 12:01

    Emmerson Mnangagwa Rais mpya wa Zimbabwe anatazamiwa kuteuwa baraza lake jipya la mawaziri wiki hii, huku macho na masikio ya walimwengu yakisubiri kuona je atawapiga kalamu wanasiasa wakongwe au ataunda serikali pana, au atawabakisha serikali vigogo wakongwe wa utawala uliopita wa Mugabe?

  • Mugabe alidondokwa na machozi na kukubali shingo upande kuachia madaraka

    Mugabe alidondokwa na machozi na kukubali shingo upande kuachia madaraka

    Nov 26, 2017 10:07

    Gazeti la Standard linalochapishwa nchini Zimbabwe limefichua kuwa, aliyekuwa rais wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, Robert Mugabe alionekana akilia huku akisema 'usaliti' wakati alipokubali kuachia madaraka kufuatia mashinikizo ya kila upande wiki iliyopita.

  • Waziri wa fedha wa Zimbabwe afikishwa mahakamani

    Waziri wa fedha wa Zimbabwe afikishwa mahakamani

    Nov 25, 2017 12:48

    Aliyekuwa waziri wa fedha wa Zimbabwe, Ignatius Chombo ambaye alikuwa amekamatwa na jeshi baada ya kuchukua mamlaka, leo amefikishwa mahakamani akikabiliwa na tuhuma za ufisadi.

  • Mnangagwa aapishwa kuwa rais mpya wa Zimbabwe, aahidi kulijenga upya taifa

    Mnangagwa aapishwa kuwa rais mpya wa Zimbabwe, aahidi kulijenga upya taifa

    Nov 24, 2017 12:28

    Emmerson Mnangagwa, Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyefutwa kazi na Robert Mugabe wiki chache zilizopita ameapishwa hii leo kuwa rais mpya wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, huku akiahidi kulijenga upya taifa hilo linalokabiliwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.

  • Rais mtarajiwa wa Zimbabwe kuapishwa leo

    Rais mtarajiwa wa Zimbabwe kuapishwa leo

    Nov 24, 2017 04:27

    Rais mtarajiwa wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa anatarajiwa kutawazwa leo Ijumaa, ikiwa ni siku tatu tu baada ya mtangulizi wake Robert Mugabe kuachia ngazi kwa mashinikizo ya jeshi na chama chake cha Zanu-PF.

  • Hatimaye Rais Mugabe wa Zimbabwe asalimu amri, akubali kujiuzulu

    Hatimaye Rais Mugabe wa Zimbabwe asalimu amri, akubali kujiuzulu

    Nov 21, 2017 10:14

    Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe hatimaye amesalimu amri na kukubali kujiuzulu. kufutia mashinikizo ya kila upande ya kumtaka aachie madaraka.

  • Mugabe apewa kinga ya kutoshtakiwa, adhaminiwa usalama wake ndani ya Zimbabwe

    Mugabe apewa kinga ya kutoshtakiwa, adhaminiwa usalama wake ndani ya Zimbabwe

    Nov 23, 2017 10:57

    Aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amepewa kinga ya kutoshtakiwa sambamba na kudhaminiwa usalama wake ndani ya ardhi ya nchi hiyo.

  • Kujiuzulu Mugabe na mustakabali wa kisiasa wa Zimbabwe

    Kujiuzulu Mugabe na mustakabali wa kisiasa wa Zimbabwe

    Nov 22, 2017 23:57

    Hatimaye baada ya takribani wiki moja ya changamoto, mivutano na uingiliaji wa jeshi hatimaye Rais Robert Gabriel Mugabe wa Zimbabwe ameng'atuka madarakani. Mugabe amechukua hatua hiyo baada ya Bunge kuanzisha mchakato wa kumsaili kwa lengo la kumuuzulu.

  • Mnangagwa arejea Zimbabwe, kuapishwa Ijumaa kumrithi Mugabe

    Mnangagwa arejea Zimbabwe, kuapishwa Ijumaa kumrithi Mugabe

    Nov 22, 2017 13:02

    Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyepigwa kalamu nyekundu hivi karibuni na Rais Robert Mugabe aliyetangaza kujiuzulu hapo jana amerejea nchini akitokea Afrika Kusini.

  • Baada ya Mugabe kujiuzulu, Umoja wa Mataifa wawataka Wazimbabwe kudumisha utulivu

    Baada ya Mugabe kujiuzulu, Umoja wa Mataifa wawataka Wazimbabwe kudumisha utulivu

    Nov 22, 2017 04:31

    Umoja wa Mataifa umewataka wananchi wa Zimbabwe kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki baada ya Rais Robert Mugabe kutangaza kujiuzulu hapo jana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS