-
Rais Mnangagwa wa Zimbabwe ashinda muhula wa pili, upinzani wakataa matokeo
Aug 27, 2023 03:44Rais Emmerson Dambudzo Mnangagwa wa Zimbabwe ameshinda muhula wa pili na wa mwisho wa urais katika matokeo yaliyokataliwa na upinzani na kutiliwa shaka na waangalizi wa kieneo na kimataifa.
-
SADC, EU: Uchaguzi wa Zimbabwe umekumbwa na kasoro nyingi
Aug 26, 2023 06:41Huku wananchi wa Zimbabwe wakiendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika Jumatano iliyopita na kuendelea mpaka Alkhamisi, timu za uangalizi wa uchaguzi huo zimetilia shaka mwenendo wa zoezi hilo la kidemorasia, zikisisitiza kuwa uchaguzi huo umekumbwa na dosari na wizi za kura.
-
Kinara wa upinzani Zimbabwe: Uchaguzi umegubikwa na udanganyifu
Aug 24, 2023 07:12Mgombea wa chama kikuu cha upinzani katika uchaguzi wa rais nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa amesema zoezi hilo la jana limekumbwa na kasoro nyingi na udanganyifu mkubwa, na kuna njama za kuchakachua matokeo ya uchaguzi huo.
-
Wananchi wa Zimbabwe wapiga kura kuchagua rais na wabunge
Aug 23, 2023 10:20Wananchi wa Zimbabwe waliotimiza masharti ya kupiga kura, mapema leo Jumatano wamelekea katika vituo vya kupigia kura kushiriki uchaguzi utakaoamua iwapo Rais wa sasa Emmerson Mnangagwa atashinda muhula wake wa pili na wa mwisho au la.
-
Rais Raisi: Afrika ni bara la fursa ambazo hazipasi kupuuzwa
Jul 14, 2023 12:00Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu amesisitiza haja ya kukuza uhusiano na mataifa ya Afrika, akilielezea bara hilo kama ardhi ya fursa na kwamba uwezo wake haupasi kupuuzwa.
-
Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika
Jul 14, 2023 02:14Rais Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu jana Alkhamisi aliwasili Harare mji mkuu wa Zimbabwe ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo mwenyeji wake, Rais Emerson Mnangagwa.
-
Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika
Jul 13, 2023 10:01Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewesili Harare mji mkuu wa Zimbabwe kikiwa ni kituo chache cha tatu na cha mwisho katika safari yake hii ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika.
-
Rais Raisi: Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara
Jul 13, 2023 14:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe kuwa Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara.
-
Raisi aondoka Kampala kuelekea ziarani Harare
Jul 13, 2023 08:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Alhamisi ameondoka Kampala na kuelekea Harake mji mkuu wa Zimbabwe baada ya kukamilisha ziara huko Uganda.
-
Jumapili, 7 Mei, 2023
May 07, 2023 04:07Leo ni Jumapili tarehe 16 Mfunguo Mosi Shawwal 1444 Hijria sawa na tarehe 7 Mei 2023.