-
Iran na Zimbabwe zaazimia kupanua ushirikiano wa kimichezo
Jan 16, 2023 12:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimeazimia kupanua zaidi ushirikiano wao katikka nyanja mbalimbalii ukiwemo uga wa michezo.
-
Zimbabwe kuwaadhibu wananchi wasio na 'uzalendo'
Nov 24, 2022 02:31Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe imeudhinisha muswada wa sheria ya kuwaadhibu wananchi wasio wazalendo, ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na vikwazo vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo la kusini mwa Afrika.
-
Iran na Zimbabwe zatathmini njia za kuimarisha uhusiano wao
Nov 06, 2022 07:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe hapa mjini Tehran, na kujadili mikakati na njia za kupanua na kuboresha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili.
-
Mripuko wa surua umeua watoto 700 nchini Zimbabwe
Sep 07, 2022 02:23Mripuko wa surua umeua takriban watoto 700 nchini Zimbabwe tokea mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa.
-
Salami: Maamuzi ya Iran yanaathiri uchaguzi wa Marekani
Sep 07, 2022 02:23Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maamuzi ya kisiasa ya Jamhuri ya Kiislamu yana taathira na nafasi kubwa katika chaguzi za Marekani.
-
Ripoti: Mikusanyiko ya Wakristo yachangia kuenea surua Zimbabwe
Aug 16, 2022 02:41Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuwa, mlipuko wa ugonjwa wa surua nchini humo umesababishwa na mikusanyiko ya kidini ya Wakristo.
-
Wafanyakazi wa afya na walimu waanzisha mgomo Zimbabwe kulalamikia hali zao
Jun 21, 2022 13:46Wafanyakazi wa sekta za afya na ualimu nchini Zimbabwe wameanzisha mgomo kulalamikia mazingira duni ya kazi huku wakikataa nyongeza ya asilimia mia moja ya mishahara iliyotangazwa na serikali mwishoni mwa wiki.
-
Jumamosi, 7 Mei, 2022
May 07, 2022 01:17Leo ni Jumamosi tarehe 5 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria sawa na tarehe 7 Mei 2022 Miladia.
-
Jumatatu tarehe 18 Aprili 2022
Apr 18, 2022 02:26Leo ni Jumatatu tarehe 16 Ramadhani inayosadifiana na tarehe 18 Aprili mwaka 2022.
-
Watu 35 wafariki dunia katika ajali ya basi nchini Zimbabwe
Apr 15, 2022 12:05Kwa akali watu 35 wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuhusika katika ajali mbaya ya barabarani nchini Zimbabwe.