-
Zimbabwe yaanza kutwaa tena ardhi ambazo hazijatumika kutoka kwa wakulima wazawa
Mar 31, 2022 10:16Zimbabwe imeanza kitwaa tena ardhi za kilimo kutoka kwa raia asili na weusi wa nchi hiyo ambazo walipewa chini ya mpango wa mageuzi makubwa ya ardhi yaliyofanywa wakati wa utawala wa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe miongo miwili iliyopita lakini walizitelekeza bila kuzitumia.
-
Upinzani wakipiga mweleka chama tawala katika uchaguzi mdogo wa Bunge Zimbabwe
Mar 28, 2022 10:59Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe kimepata kura nyingi zaidi ya chama tawala katika uchaguzi mdogo wa Bunge uliofanyika Jumamosi ya juzi.
-
Hospitali Zimbabwe zakumbwa na upungufu wa wauguzi baada ya mamia kuhamia Uingereza
Mar 10, 2022 04:10Ripoti kuhusu upungufu wa wauguzi katika hospitali za serikali na za binafsi huko Zimbabwe zimeendelea kugonga vichwa vya habari katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Zimbabwe yaathiriwa na wimbi la kuhajiri wafanyakazi wa sekta ya afya
Dec 17, 2021 03:04Zimbabwe imeathiriwa na wimbi kubwa la wafanyakazi wake wa sekta ya afya kuhajiri na kwenda nchi za nje kutafuta kazi wakati huu ambapo nchi hiyo inasumbuliwa pakubwa na maambukizi ya VOVID-19. Hadi sasa zaidi ya wafanyakazi wa sekta ya afya 2,200 wameondoka Zimbabwe na kuelekea Marekani, Uingereza, Australia na katika mataifa jirani kwa ajili ya kusaka ajira.
-
Watumishi wa umma ambao hawajachanja Zimbabwe kutoruhusiwa kazini
Oct 16, 2021 02:32Kuanzia Jumatatu ijayo, wafanyakazi wa serikali na watumishi wote wa umma ambao hawajapiga chanjo ya kukijikinga na ugonjwa wa COVID-19 hawataruhusiwa kuingia kazini nchini Zimbabwe.
-
Spika wa Zimbabwe: Marekani, muasisi wa ukiukaji wa haki za binadamu
Jul 28, 2021 11:14Spika wa Bunge la Kitaifa la Zimbabwe ameitaja Marekani kama muasisi, chimbuko na taifa linaloongoza kwa ukiukaji wa haki za binadamu duniani.
-
Zimbabwe ni miongoni mwa nchi bora katika malipo ya mtandaoni barani Afrika
May 29, 2021 02:39Zimbabwe imepiga hatua kubwa katika sekta ya teknolojia za kidijitali ikiwa ni pamoja na mapinduzi katika malipo ya pesa kwa kutumia simu za mkononi ambapo hivi sasa watu milioni 7.67 kati ya milioni 14.5 nchini humo wanatumia simu za mkononi katika miamala ya kifedha.
-
Ijumaa, Mei 7, 2021
May 07, 2021 02:18Leo ni Ijumaa tarehe 24 Ramadhani mwaka 1442 Hijria sawa na tarehe 7 Mei mwaka 2021
-
Rouhani: Taifa la Zimbabwe litavishinda vikwazo vya Marekani
Apr 19, 2021 02:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa kwa mnasaba wa Siku ya Uhuru wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, iliyoadhimishwa jana Jumapili.
-
Jumapili, Aprili 18, 2021
Apr 18, 2021 06:12Leo ni Jumapili tarehe 5 Ramadhani 1442 Hijria Qamaria sawa 29 Farvardin 1400 Hijria Shamsiya ambazo ni sawa na Aprili 18 2021