-
Spika wa Zimbabwe: Marekani, muasisi wa ukiukaji wa haki za binadamu
Jul 28, 2021 06:44Spika wa Bunge la Kitaifa la Zimbabwe ameitaja Marekani kama muasisi, chimbuko na taifa linaloongoza kwa ukiukaji wa haki za binadamu duniani.
-
Zimbabwe ni miongoni mwa nchi bora katika malipo ya mtandaoni barani Afrika
May 28, 2021 22:09Zimbabwe imepiga hatua kubwa katika sekta ya teknolojia za kidijitali ikiwa ni pamoja na mapinduzi katika malipo ya pesa kwa kutumia simu za mkononi ambapo hivi sasa watu milioni 7.67 kati ya milioni 14.5 nchini humo wanatumia simu za mkononi katika miamala ya kifedha.
-
Ijumaa, Mei 7, 2021
May 06, 2021 21:48Leo ni Ijumaa tarehe 24 Ramadhani mwaka 1442 Hijria sawa na tarehe 7 Mei mwaka 2021
-
Rouhani: Taifa la Zimbabwe litavishinda vikwazo vya Marekani
Apr 18, 2021 22:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi mwenzake wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa kwa mnasaba wa Siku ya Uhuru wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, iliyoadhimishwa jana Jumapili.
-
Jumapili, Aprili 18, 2021
Apr 18, 2021 01:42Leo ni Jumapili tarehe 5 Ramadhani 1442 Hijria Qamaria sawa 29 Farvardin 1400 Hijria Shamsiya ambazo ni sawa na Aprili 18 2021
-
Zimbabwe yapiga marufuku kuingiza magari ya zaidi ya miaka 10 nchini humo
Apr 03, 2021 02:50Zimbawe imepiga marufuku kuingiza nchini humo magari makongwe yaliyotengenezwa zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa ni hatua ya kukuza viwanda vya ndani, kupunguza gharama na kukabiliana na uchafuzi wa mazingira na hali ya hewa.
-
Corona yaua waziri wa tatu ndani ya wiki moja nchini Zimbabwe
Jan 23, 2021 08:14Joel Matiza, Waziri wa Uchukuzi na Ustawi wa Miundombinu wa Zimbabwe ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19, na hivyo kuwa waziri wa tatu kuaga dunia kwa maradhi hayo katika kipindi cha siku saba.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe aaga dunia kwa corona
Jan 21, 2021 01:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe, Sibusiso Moyo ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19.
-
Waziri mwingine aaga dunia kwa corona nchini Zimbabwe
Jan 16, 2021 00:49Zimbabwe imempoteza waziri wake wa pili ambaye ameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19.
-
Jumatano tarehe 30 Septemba 2020
Sep 29, 2020 23:11Leo ni Jumatano tarehe 12 Safar 1442 Hijria sawa na tarehe 30 Septemba mwaka 2020.