Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zimbabwe

  • Rais: Zimbabwe haitarejea katika matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani

    Rais: Zimbabwe haitarejea katika matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani

    Dec 14, 2019 03:58

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema licha ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kukabiliwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi, lakini haitarejea katika matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani.

  • Mahakama ya Zimbabwe yamteuwa Bona Chikore kufuatilia mali za Mugabe

    Mahakama ya Zimbabwe yamteuwa Bona Chikore kufuatilia mali za Mugabe

    Dec 05, 2019 09:03

    Mahakama Kuu ya Zimbabwe leo amemteua binti wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Robert Mugabe kufuatilia mali zilizoachwa na kiiongozi huyo ili ziweze kugawanywa baina ya warithi wake.

  • Madaktari wanaogoma Zimbabwe wakataa nyongeza ya mshahara

    Madaktari wanaogoma Zimbabwe wakataa nyongeza ya mshahara

    Nov 30, 2019 01:00

    Madaktari wanaoendelea na mgomo nchini Zimbabwe tokea mwezi Septemba mwaka huu wamekataa pendekezo la serikali la kurejea kazini baada ya kupewa nyongeza ya mishahara.

  • Rais wa Zimbabwe aachana na mpango wa kuondoa ruzuku kwa mazao ya nafaka

    Rais wa Zimbabwe aachana na mpango wa kuondoa ruzuku kwa mazao ya nafaka

    Nov 28, 2019 08:30

    Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe imesema kuwa itaachana na mpango wake wa kuondoa ruzuku kwa mazao ya nafaka ifikapo mwakani; hatua iliyoitaja kuwa itawalinda raia maskini na kupanda kwa bei ya bidhaa za vyakula.

  • Polisi Zimbabwe watumia gesi ya kutoa machozi na marungu kuwatawanya wafuasi wa upinzani

    Polisi Zimbabwe watumia gesi ya kutoa machozi na marungu kuwatawanya wafuasi wa upinzani

    Nov 20, 2019 09:22

    Polisi nchini Zimbabwe leo Jumatano wametumia marungu, gesi ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kuwapiga na kuwatawanya wafuasi wa chama kikuu cha upinzani ambao walikuwa wamekusanyika nje ya makao makuu ya chama hicho kusikiliza hotuba ya kiongozi wao.

  • Zimbabwe yaonya kuhusu matamshi ya uingiliaji mambo ya balozi wa Marekani

    Zimbabwe yaonya kuhusu matamshi ya uingiliaji mambo ya balozi wa Marekani

    Nov 01, 2019 08:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe amemuonya balozi wa Marekani mjini Harare, mji mkuu wa nchi hiyo kutokana na matamshi yake ya uingiliaji katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.

  • AU, SADC zataka Marekani na EU kuondoa vikwazo dhidi ya Zimbabwe

    AU, SADC zataka Marekani na EU kuondoa vikwazo dhidi ya Zimbabwe

    Oct 26, 2019 23:48

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat ameunga mkono wito wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) wa kutaka Zimbabwe iondolewe bila masharti vikwazo ambavyo imewekewa na Marekani pamoja na Umoja wa Ulaya.

  • Wazimbabwe waandamana kupinga vikwazo vya nchi za Magharibi, wasema ni utumwa mamboleo

    Wazimbabwe waandamana kupinga vikwazo vya nchi za Magharibi, wasema ni utumwa mamboleo

    Oct 25, 2019 09:35

    Wafuasi wa chama tawala nchini Zimbabwe wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare wakilaani vikwazo vya nchi za Maghaibi ambavyo Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo anasema vimedumaza uchumi wa Zimbabwe.

  • Mugabe azikwa katika kijiji alikozaliwa

    Mugabe azikwa katika kijiji alikozaliwa

    Sep 29, 2019 04:19

    Kiongozi mwanzilishi wa taifa la Zimbabwe Robert Mugabe amezikwa Jumamosi katika kijiji alikozaliwa cha Kutama katika eneo la Zvimba na hivyo kuhitimisha mgogoro baina ya serikali na mrithi wake, Rais Emmerson Mnangagwa kuhusu sehemu yake ya kuzikwa.

  • Madaktari Zimbabwe: Tunatishiwa kuuawa kwa kugoma

    Madaktari Zimbabwe: Tunatishiwa kuuawa kwa kugoma

    Sep 18, 2019 20:56

    Madaktari wanaoendelea na mgomo nchini Zimbabwe wameeleza kuwa wamepokea vitisho vya kuuawa huku maafisa usalama wa taifa wakiwashinikiza baada ya polisi kuzuia maandamano yao ya pili jana Jumatano.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS