-
Madaktari Zimbabwe: Tunatishiwa kuuawa kwa kugoma
Sep 18, 2019 20:56Madaktari wanaoendelea na mgomo nchini Zimbabwe wameeleza kuwa wamepokea vitisho vya kuuawa huku maafisa usalama wa taifa wakiwashinikiza baada ya polisi kuzuia maandamano yao ya pili jana Jumatano.
-
Marais wa nchi 10 za Afrika wauaga mwili wa Mugabe wa Zimbabwe
Sep 14, 2019 07:14Marais wa nchi 10 za bara Afrika pamoja na marais wastaafu wameshiriki shughuli ya kuuaga mwili wa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe.
-
Mwili wa Robert Mugabe, kuagwa leo na maelfu ya Wazimbabwe
Sep 11, 2019 23:50Raia wa Zimbabwe watauaga mwili wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, hayati Robert Mugabe Alkhamisi ya leo.
-
Rambirambi zaendelea kutolewa kufuatia kifo cha Robert Mugabe
Sep 06, 2019 22:02Viongozi mbalimbali wa dunia wameendelea kutuma salamu zao za ramabirambi kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe kilichotokea jana huko nchini Singapore.
-
Kuongezeka matatizo ya kiuchumi; kuanza maandamano nchini Zimbabwe
Aug 17, 2019 21:54Kuongezeka matatizo ya kiuchumi nchini Zimbabwe na kutotekelezwa ahadi zilizotolewa na Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo katika uwanja huo kumepelekea makumi ya maelfu ya Wazimbabwe kuandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare kulalamikia siasa za kiuchumi za serikali.
-
Polisi Zimbabwe yawapiga waandamanaji Harare, yapiga marufuku maandamano dhidi ya serikali
Aug 16, 2019 10:44Polisi nchini Zimbabwe leo Ijumaa imetumia gesi ya kutoa machozi na kuwapiga makumi ya wafuasi wa upinzani waliokuwa wameandamana katikati ya mji mkuu wa nchi hiyo, Harare.
-
WFP: Zimbabwe inakabiliwa na baa kubwa zaidi la njaa
Aug 07, 2019 23:07Zimbabwe inakabiliwa na janga baya zaidi la la njaa kuwahi kuikumba nchi hiyo na msaada wa haraka unahitajika ili kunusuru maisha ya mamailioni ya watu.
-
Jumanne, Mei 7, 2019
May 06, 2019 23:43Leo ni Jumanne tarehe Mosi Ramadhani 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Mei, 2019 Milaadia.
-
Alhamisi, 18 Aprili, 2019
Apr 17, 2019 20:50Leo ni Alhamisi tarehe 12 Sha'aban 1440 Hijria, sawa na tarehe 18 Aprili, 2019 Miladia.
-
UNICEF: Watoto milioni 1.5 wanahitaji msaada kusini mwa Afrika kufuatia Kimbunga Idai
Apr 15, 2019 03:18Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, limetoa ombi la dola milioni 1.6 kusaidia watoto takribani milioni 1.5 ambao wameathiriwa vibaya na Kimbunga Idai katika nchi za kusini mwa Afrika ambazo ni Msumbiji, Malawi na Zimbabwe.