-
Zaidi ya visa 100,000 vya kipindupindu vimeripotiwa Sudan huku njaa ikishadidi
Sep 01, 2025 22:50Zaidi ya maambukizi 100,000 ya kipindupindu yameripotiwa katika nchi ya Sudan iliyokumbwa na vita katika mwaka mmoja, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu (OCHA) ilisema Jumatatu.
-
Umoja wa Afrika waguswa na kuongezeka kwa fedha haramu barani Afrika
Sep 01, 2025 07:42Umoja wa Afrika, umeeleza kuguswa na kuongezeka kwa fedha haramu kwenye bara hilo.
-
Marufuku ya kutotoka nje yawekwa maeneo yenye ghasia za kikabila Kenya
Sep 01, 2025 07:34Serikali ya Kenya imetangaza kuweka marufuku ya kutotoka nje katika maeneo yenye ghasia za kikabila katika nchi hiyo ya Afrika Mashaariki.
-
Kamanda wa wanamgambo wa RSF aapishwa kuwa Mkuu wa serikali sambamba huko Sudan
Sep 01, 2025 04:15Mohammed Hamdan Dagalo kamanda wa wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) jana aliapishwa kuwa kiongozi wa serikali sambamba nchini Sudan.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kuongezeka wapiganaji karibu na mji mkuu wa Libya
Aug 31, 2025 08:49Ofisi ya Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa wapiganaji wenye silaha nzito karibu na mji mkuu Tripoli, ikionya kuwa “matukio hatari” yanaweza “kuleta madhara” kwa raia.
-
14 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Namibia
Aug 31, 2025 03:54Wafanyakazi 11 wa Idara ya Huduma ya Marekebisho ya Namibia, afisa wa polisi na raia wawili wamepoteza maisha jana Jumamosi katika ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la kusini-kati nchini humo.
-
Raia 5 wa familia moja wauawa katika shambulio la droni la RSF huko Kordofan ya Kaskazini
Aug 31, 2025 03:53Jeshi la Sudan limetangaza kuwa raia watano kutoka kwa familia moja, wakiwemo binti wawili, wameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani lililotekelezwa na Kikosi cha Wanamgambo waMsaada wa Haraka (RSF) katika Jimbo la Kordofan Kaskazini, kusini mwa Sudan.
-
Zaidi ya wahamiaji 70 wapoteza maisha baada ya boti ya kuzama karibu na Mauritania
Aug 31, 2025 01:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Gambia imethibitisha kuwa angalau watu 70 wamefariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji kuzama katika pwani ya Afrika Magharibi, karibu na Mauritania.
-
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini wajenga kituo kipya cha muda kwa ajili ya kulinda raia
Aug 31, 2025 01:04Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS) umetangaza kuwa unajenga kituo kipya cha muda katika eneo la Tambura, magharibi mwa Sudan Kusini, kwa lengo la kuimarisha ulinzi kwa raia.
-
Guinea inajiandaa kwa kampeni ya kura ya maoni ili kuhitimisha utawala wa kijeshi
Aug 30, 2025 09:03Guinea Conakry kesho Jumapili itaanza kampeni ya kura ya maoni ya katiba kwa ajili ya kurejesha utawala wa kiraia baada ya jeshi kuchukua madaraka mwaka 2021.