-
Hatimaye Sudan yapata Waziri Mkuu mpya
May 20, 2025 09:52Kiongozi wa Kijeshi wa Sudan Abdel Fattah al-Burhan amemteua Kamil El-Tayeb Idris Abdelhafiz kuwa waziri mkuu mpya wa taifa hilo, ikiwa ni miaka miwili tangu vita kuzuka nchini humo.
-
Wanaharakati wa Kenya kuishtaki serikali ya Tanzania kwa ukiukaji wa haki
May 20, 2025 09:46Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wanapanga kwenda mahakamani kuishtaki serikali ya Tanzania, kwa kile wanasema imekiuka haki za kibinadamu.
-
WHO: Mlipuko wa polio Madagascar umekwisha
May 20, 2025 08:29Mlipuko wa ugonjwa wa polio aina ya kwanza au (Type 1) nchini Madagascar umetangazwa kuwa umemalizika. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne na Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Maiti 58 wapatikana katika hospitali ya Libya ya wanamgambo wa SSA
May 20, 2025 03:20Takriban miili 58 ya watu ambao hawajulikani, ilipatikana jana Jumatatu katika hospitali moja mjini Tripoli iliyokuwa inadhibitiwa na wanamgambo wa SSA ambao kiongozi wao aliuawa wiki iliyopita.
-
Misri yarejesha nyumbani mabaki 21 ya kale yaliyoibwa na kupelekwa Australia
May 20, 2025 03:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetangaza kwamba, nchi hiyo imefanikiwa kurejesha nyumba, mabaki 21 yenye thamani kubwa ya mabaki ya kali yaliyokuwa yameibwa nchini humo na kupelekwa Australia.
-
Somalia yazindua mpango wa chanjo nchi nzima ili kukabiliana na surua, polio na nimonia
May 19, 2025 08:21Somalia leo Jumatatu imezindua kampeni ya chanjo ya kitaifa ili kukabiliana na magonjwa ya surua, polio na nimonia. Kampeni hiyo ya chanjo imekusudia kuwafikia watoto zaidi ya milioni 3 nchini humo.
-
Kenya yasema kurudishwa nyumbani Karua hakutaathiri uhusiano na Tanzania
May 19, 2025 08:10Msemaji wa serikali ya Kenya amesema kuwa kuondoshwa kwa Martha Karua nchini Tanzania hakutavuruga uhusiano wa kidiplomasia kati ya Kenya na Tanzania.
-
Sisi katika mkutano na afisa wa US, ataka kusitishwa mapigano Gaza
May 19, 2025 03:39Rais wa Misri Abdel-Fattah al-Sisi jana Jumapili alitoa wito wa kufikiwa makubaliano ya usitishaji vita mara moja katika Ukanda wa Gaza, na kuruhusu kuingia misaada ya kibinadamu katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Jeshi la Sudan latwaa tena eneo la kimkakati Darfur Kaskazini kutoka kwa RSF
May 19, 2025 03:36Jeshi la Sudan limefanikiwa kutwaa tena udhibiti wa eneo muhimu la kistratajia la Attrun huko Darfur Kaskazini kutoka kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Profesa Janabi ashinda kiti cha Mkurugenzi wa WHO Afrika
May 18, 2025 23:57Profesa Mohammed Janabi kutoka Tanzania ameshinda uchaguzi wa kuwania kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika.