-
Kanisa Katoliki Tanzania laitaka serikali kumuachilia huru Tundu Lissu
Apr 20, 2025 08:38Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali kuwaachilia bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi.
-
Katika kesi ya halaiki, Tunisia yawahukumu washtakiwa 40 vifungo vya hadi miaka 66 jela
Apr 20, 2025 01:31Mahakama ya Tunisia imewahukumu viongozi kadhaa wa upinzani, mawakili na wafanyabiashara vifungo vya kati ya miaka 13 hadi 66 jela kwa makosa ya kula njama na ya kuhatarisha usalama wa taifa.
-
UN: Theluthi moja ya Wasudani ni wakimbizi, hali ya wanaokimbia kambi za Darfur ni janga tupu
Apr 19, 2025 23:24Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limefichua kuwa mtu mmoja kati ya watatu nchini Sudan amelazimika kuwa mkimbizi, huku mamia ya watu wanaokimbia kambi za Darfur wakikabiliwa na hali mbaya kufuatia mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Kufukuzwa wanadiplomasia; Je, kwa mara nyingine Algeria imeasi dhidi ya Ufaransa?
Apr 19, 2025 22:55Huku mvutano ukishadidi katika uhusiano wa kisiasa kati ya Ufaransa na Algeria, nchi hizo mbili zimewafukuza wanadiplomasia kadhaa kutoka katika nchi zao.
-
Lissu athibitishwa kushikiliwa kwenye gereza la Ukonga chini ya ulinzi mkali
Apr 19, 2025 11:02Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema viongozi wake wamekutana na viongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amehamishiwa Gereza la Ukonga.
-
Watu 148 wamefariki katika ajali ya boti nchini DRC
Apr 19, 2025 09:42Idadi ya watu waliofariki dunia ilifikia 148 kutokana na ajali ya boti katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mapema wiki hii.
-
Katibu Mkuu wa Hilali Nyekundu Sudan: Vita haviheshimu chochote
Apr 19, 2025 03:20Huku vita vya ndani huko Sudan vikiingia katika mwaka wa tatu, Mkuu wa Shirika la Hilali Nyekundu la Sudan (Hilali Nyekundu) SRCS ametahadharisha kuhusu kuongezeka hatari zinazowakabili wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu katika mazingira magumu wanayofanyia kazi wakati wakitoa huduma kwa mamilioni ya watu walioathiriwa na vita.
-
CHADEMA yataka Lissu aruhusiwe kuonana na mawakili, jamaa zake
Apr 19, 2025 03:00Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA kimevitaka vyombo vya dola vimruhusu Mwenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu kuonana na mawakili na jamaa zake.
-
Misri yapinga madai ya Marekani kuhusu Ukanda wa Gaza
Apr 19, 2025 02:42Jumuiya ya Wahandishi wa Misri imepinga madai ya Marekani kuhusu Ukanda wa Gaza
-
Wananchi wa Morocco wafanya maandamano 105 kuiunga mkono Gaza
Apr 19, 2025 02:35Televisheni ya al Jazeera yenye makao yake nchini Qatar imetangaza kuwa wananchi wa Morocco wamefanya maandamano 105 katika miji 58 ya nchi hiyo wakitangaza mshikamano wao na kuwaunga mkono watu madhulumu wa Ukanda wa Gaza na kulaani vita vya mauaji ya kimbari vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.