-
Kwa nini Rwanda imeitaka Uingereza iilipe fidia?
Mar 07, 2025 07:04Suala la madai ya Rwanda ya fidia ya pauni milioni 50 kutoka kwa Uingereza kwa kuacha mpango wa kuwafukuza wakimbizi haramu nchini humo sasa limekuwa kadhia tata na ngumu kati ya nchi hizo mbili.
-
Kenya yaiamuru TikTok iondoe maudhui za kingono zinazowalenga watoto
Mar 07, 2025 03:47Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya imeutaka mtandao wa kijamii wa China wa TikTok uondoe maudhui za kingono zinazowalenga na kuwaathiri watoto.
-
Sudan yaishtaki UAE Mahakama ya ICJ kuwa imehusika na mauaji ya kimbari ya jamii ya Masalit
Mar 07, 2025 03:36Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya Umoja wa Mataifa (ICJ) imetangaza kuwa imepokea mashtaka yaliyowasilishwa na Sudan dhidi ya Muungano wa Falme za Kiarabu UAE, au Imarati ambapo Khartoum inaituhumu Abu Dhabi kuwa imekiuka Mkataba wa Mauaji ya Kimbari kwa kuwapa silaha na kuwafadhili kifedha wanamgambo wa "Vikosi vya Usaidizi wa Haraka" (RSF) katika vita vya ndani vya Sudan.
-
Mali na Russia zajadili kuimarisha ushirikiano wa kiulinzi
Mar 06, 2025 23:03Ujumbe wa ngazi ya juu wa Russia ukiongozwa na Naibu Waziri wa Ulinzi, Yunus-Bek Yevkurov umeitembelea Mali na kufanya mazungumzo na maafisa wa taifa hilo la Afrika Magharibi, kuhusu kuimarisha ushirikiano wa usalama na ulinzi wa pande mbili.
-
Vita vyaangamiza moja ya turathi wa kale zaidi nchini Sudan
Mar 06, 2025 06:27Soko la Omdurman, ni moja ya masoko makongwe na la kihistoria nchini Sudan, ambalo lilianza takriban karne mbili zilizopita na linajulikana kama alama ya ustaarabu na mshikamano wa makabila tofauti nchini Sudan lakini sasa limeharibiwa vibaya.
-
Mali yasitisha vibali vya uchimbaji madini kwa wageni
Mar 06, 2025 06:26Waziri wa Usalama na Ulinzi wa Raia wa Mali, Daoud Aly Mohammedine ametangaza rasmi kwamba: Vibali vyote vya uchimbaji madini nchini Mali vilivyotolewa kwa watu wenye uraia wa kigeni vimesitishwa kwa amri ya Rais Assimi Goïta wa Mali.
-
Tarabelsi: Juhudi za UN ni muhimu kwa ajili ya kuwarejesha makwao kwa hiari wahamiaji
Mar 06, 2025 06:25Waziri wa Mambo ya Ndani wa Libya, Emad al-Tarabelsi amesisitizia umuhimu wa kuweko msaada wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) katika kuendeleza jitihada za kuhakikisha wahamiaji wanaondoka Libya kwa hiari yake na kurejea kwenye nchi zao.
-
Afrika Kusini: Israel inatumia njaa kama silaha ya vita dhidi ya watu wa Gaza
Mar 06, 2025 04:12Afrika Kusini imesema kwamba "Israel inatumia njaa kama silaha ya vita" huko Gaza kwa kuzuia misaada ya kibinadamu kufika eneo hilo tangu Jumapili iliyopita.
-
Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi wa Afrika Mashariki (EAPCE’25) waanza Dar
Mar 06, 2025 04:11Makamu wa Raisi wa Tanzania, Dkt Philip Mpango amesema kuwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, zinapaswa kutumia fedha zinazokusanywa ili kuwekeza katika sekta ya nishati safi.
-
Sudan Kusini yawatia mbaroni 'wapambe' wa Riek Machar
Mar 05, 2025 22:57Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata Waziri wa Mafuta na maafisa kadhaa wakuu wa kijeshi waitifaki wa Makamu wa Kwanza wa Rais, Riek Machar; huku wanajeshi wakiendele kuizingira nyumba yake katika mji mkuu, Juba.