-
Rwanda: Vikwazo vya Marekani si halali, havina msingi wowote
Feb 21, 2025 03:41Serikali ya Kigali imelaani vikali hatua ya Wizara ya Hazina (Fedha) ya Marekani ya kumwekea vikwazo Waziri wa Utangamano wa Kieneo wa Rwanda, Jenerali (Mstaafu) James Kabarebe, kwa tuhuma za kuhusika na mzozo na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Jeshi la Somalia laangamizi magaidi 130 wa al-Shabaab kusini mwa nchi
Feb 21, 2025 03:21Somalia imesema jeshi la nchi hiyo likishirikiana na vikosi washirika vimefanikiwa kuzima mashambulizi ya al-Shabaab, na kuua makumi ya wanachama wa genge hilo la kigaidi.
-
Afrika Kusini: Usitishaji vita Gaza sharti ulete amani ya kudumu
Feb 20, 2025 23:20Rais wa Afrika Kusini amesema usitishaji wa mapigano katika Ukanda wa Gaza unapasa kuleta uadilifu na amani ya kudumu katika eneo hilo.
-
Wasudan wanarejea makwao licha ya kuandamwa na mashaka na matatizo
Feb 20, 2025 22:56Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Sudan wameendelea kurejea katika maeneo yao waliyoyakimbia kutokana na vita, lakini bado hofu na wasiwasi umetamalaki kwenye nyoyo zao.
-
Pigo jingine kwa mkoloni kizee Ufaransa, sasa ni wanajeshi wake wa Côte d'Ivoire
Feb 20, 2025 22:55Jana Alkhamisi, mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa alipata pigo jingine baada ya wanajeshi wake kutimuliwa katika kambi yake pekee ya kijeshi nchini Ivory Coast, magharibi mwa Afrika. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya jana Alkhamisi ya vyombo mbalimbali vya habari.
-
Umoja wa Mataifa waonya dhidi ya kutangazwa serikali nyingine nchini Sudan
Feb 20, 2025 07:57Umoja wa Mataifa umeonya kwamba tangazo la serikali nyingine nchini Sudan linatishia "kuzidisha mgogoro" unaoendelea nchini humo.
-
Maafisa wa Afrika wa Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu mzozo wa DRC
Feb 20, 2025 04:10Maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa barani Afrika wametahadharisha kuhusu mzozo na machafuko yanayoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Uhusiano wa kidiplomasia wa Kenya na Sudan matatani baada ya Nairobi kuwa mwenyeji wa RSF
Feb 20, 2025 04:10Kenya na Sudan huenda zikaingia katika mgogoro wa kidiplomasia baaada ya Nairobi kuwa mwenyeji wa mkutano wa wanamgambo wa RSF wanaopigana na serikali ya Khartoum.
-
Indhari ya MSF kuhusu mapigano ya silaha na uporaji mashariki mwa DRC
Feb 19, 2025 23:08Shirika la Madaktari Wasiokuwa na Mipaka (MSF) limetoa tahadhari kuhusu mapigano ya silaha na uporaji katika eneo lililoathiriwa na vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Uganda yasema imeweza kudhibiti mlipuko wa Ebola
Feb 19, 2025 23:05Uganda imesema imeweza "kudhibiti" mlipuko wa hivi karibuni wa virusi vya Ebola aina ya Sudan, ambao ulithibitishwa na Wizara ya Afya mwishoni mwa Januari.