-
Watu 19 wauawa katika shambulizi dhidi ya majengo ya Ikulu ya Rais wa Chad
Jan 08, 2025 23:49Takriban watu 19 wameuawa wakati watu wenye silaha waliposhambulia Ikulu ya Rais wa Chad jana Jumatano jioni.
-
Jeshi la Nigeria: Magaidi 34 wa Boko Haram wameangamizwa katika jimbo la Borno
Jan 08, 2025 23:40Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa vikosi vyake vimewaua magaidi 34 wa kundi la Boko Haram katika mapigano ya silaha kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno huku wanajeshi sita pia wakipoteza maisha.
-
Chad yakosoa ubabe na ukoloni wa Ufaransa
Jan 08, 2025 12:07Kufuatia kauli za Rais wa Ufaransa kwamba nchi za Afrika zimesahau kuishukuru Paris kwa kushiriki katika kile anachosema ni 'mapambano dhidi ya ugaidi' katika eneo la Sahel, Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad amekosoa maneno hayo na kuyalaani.
-
Kamanda wa al-Shabaab na magaidi 10 waangamizwa Somalia
Jan 08, 2025 08:50Jeshi la Somalia limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza magaidi 10 wa al-Shabab, kusini mwa nchi hiyo. Vilevile limetangaza habari ya kuangamizwa kamanda wa ngazi za juu wa genge hilo kigaidi atwaye Mohamed Mire katika operesheni nyingine tofauti iliyofanyika kwenye jimbo la Jubaland.
-
Rwanda yailaumu jamii ya kimataifa kwa kuchochea ghasia za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Jan 08, 2025 08:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Olivier Nduhungirehe ameikosoa jamii ya kimataifa kwa kushindwa kushughulikia chanzo cha mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasiia ya Congo.
-
Zaidi ya watu 100,000 wakimbia makaazi yao DRC
Jan 08, 2025 03:45Idadi ya wakimbizi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inazidi kuongezeka sambamba na kuendelea ukosefu wa usalama katika maeneo ya nchi hiyo.
-
Serikali ya Sudan: Zaidi ya visa 500 vya ubakaji vimefanywa na wanamgambo
Jan 08, 2025 03:44Zaidi ya wanawake 500 wamebakwa na wanamgambo wa Sudan tangu kuanza kwa vita dhidi ya jeshi mnamo mwezi Aprili 2023. Hayo yameelezwa na afisa wa serikali ya Sudan.
-
Rais wa zamani wa Ghana aliyechaguliwa tena azungumzia mabadiliko ya miungano ya kimataifa
Jan 07, 2025 23:10Rais mpya aliyechaguliwa tena wa Ghana John Dramani Mahama alianza muhula wake wa pili Jumanne kwa kuangazia mienendo inayobadilika katika miungano ya kimataifa.
-
Wanajeshi 6 wa Nigeria wauawa katika hujuma ya Boko Haram
Jan 07, 2025 23:06Wanajeshi wasiopungua sita wameuawa nchini Nigeria huku magari ya chuo cha kijeshi yakichomwa moto wakati kundi la kigaidi la Boko Haram liliposhambulia jeshi la Nigeria.
-
Chad na Senegal zakerwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa dhidi ya viongozi wa Afrika
Jan 07, 2025 08:48Chad imeelezwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron dhidi ya viongozi wa Afrika.