-
Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji msaada Sudan
Jan 07, 2025 08:23Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu zaidi ya Milioni 30 nchini Sudan, nusu yao wakiwa ni watoto wana uhitaji wa dharura wa misaada ya kibinadamu.
-
UN: Sudan kwa sasa ni sehemu pekee duniani ambako njaa imethibitishwa
Jan 07, 2025 04:06Umoja wa Mataifa jana Jumatatu ulitangaza kuwepo mgogoro "wa kutisha" wa binadamu nchini Sudan, ukisema kuwa ndiyo nchi pekee ambako njaa imethibitishwa.
-
Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Kenya aanika ufisadi katika maeneobunge
Jan 07, 2025 02:20Ripoti ya ukaguzi imeonyesha kwamba, huenda mamilioni ya pesa za basari zilizolenga kuwasaidia wanafunzi kutoka familia masikini, zinaishia katika mifuko ya maafisa na wabunge wafisadi katika maeneobunge mbalimbali nchini Kenya.
-
Watu zaidi ya 100 wanyongwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Jan 06, 2025 23:12Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, watu 102 wamenyongwa na wengine 70 wamehukumiwa adhabu hiyo.
-
Polisi wa Nigeria wawakomboa mateka baada ya makabiliano ya risasi na watekaji nyara
Jan 06, 2025 09:50Polisi ya Nigeria imeripoti kuwa mateka wanne waliotekwa nyara wamekombolewa baada ya makabiliano ya risasi na watekaji nyara katika jimbo la Imo kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mkuu wa Jeshi la Uganda: Ninataka kumkata kichwa Bobi Wine
Jan 06, 2025 09:44Mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ambaye pia ni mtoto wa Rais wa muda mrefu Yoweri Museveni, amesema anataka kumkata kichwa kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo Robert Kyagulanyi ambaye ni mashuhuri kwa jina la Bobi Wine.
-
Kiongozi wa upinzani Msumbiji asema atarudi nyumbani kutoka uhamishoni wiki hii
Jan 06, 2025 02:37Kiongozi wa upinzani wa Msumbiji ambaye akiwa uhamishoni nje ya nchi, amekuwa akiongoza maandamano ya zaidi ya miezi miwili dhidi ya matokeo ya uchaguzi yaliyozusha utata ametangaza kuwa, atarejea nchini humo wiki hii kabla ya kuapishwa rais mpya.
-
Waasi wa M23 wauteka mji wa Masisi mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jan 05, 2025 23:33Vikosi vya kundi la waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, vimeuteka mji wa Masisi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Libya yaanzisha operesheni ya kijeshi ya kupambana na uhalifu katika fukwe za magharibi
Jan 05, 2025 07:56Ukanda wa Kijeshi wa Pwani ya Magharibi wa Wizara ya Ulinzi ya Libya umetangaza kuwa, jana Jumamosi ulianzisha operesheni kubwa ya kijeshi ya kupambana na uhalifu katika eneo hilo.
-
Watu 8 wauawa na wengine 53 wajeruhiwa katika mashambulizi mapya Sudan
Jan 05, 2025 07:55Takriban watu wanane wameuawa na wengine 53 kujeruhiwa katika shambulizi la mizinga lililofanywa na Wanajeshi wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika mji mkuu wa Sudan Khartoum na mji wa El Fasher wa Jimbo la Darfur Kaskazini.