-
UN kuanza kusambaza misaada ya chakula Sudan leo
Dec 28, 2024 23:22Msafara mkubwa zaidi uliobeba chakula cha misaada umefika katikak mji mkuu wa Sudan, Khartoum tangu kuanza kwa mzozo mwezi Aprili 2023.
-
Zambia yathibitisha kesi ya pili ya mpox katika miezi 3, WHO yaripoti kesi 14,000 barani Afrika
Dec 28, 2024 23:21Zambia imethibitisha kesi yake ya pili ya mpox, karibu miezi mitatu baada ya kuripoti kesi ya kwanza.
-
Senegal kufunga vituo vyote vya majeshi ya kigeni, ni vilivyosalia vya Ufaransa vilivyoko nchini humo
Dec 28, 2024 09:40Waziri Mkuu wa Senegal Ousmane Sonko amesema, nchi hiyo itafunga kambi zote za kijeshi za kigeni katika ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali za kupitia upya sera ya ulinzi na kuimarisha mamlaka ya kitaifa.
-
Rais wa Kenya aahidi kukomesha utekanyaji nyara ili vijana wa nchi hiyo waishi kwa amani
Dec 28, 2024 09:18Rais William Ruto wa Kenya ameahidi kukomesha utekaji nyara, kufuatia visa vya hivi karibuni vya watu kutoweka ambavyo vimelaaniwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, mawakili na wanasiasa.
-
Baraza la Usalama laidhinisha kikosi kipya cha kulinda amani nchini Somalia
Dec 28, 2024 04:02Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa jana, Ijumaa, liliidhinisha uamuzi wa kupeleka ujumbe mpya wa Umoja wa Afrika nchini Somalia, ambao utachukua nafasi ya kikosi kingine cha umoja huo, kuanzia mwanzoni mwa mwaka ujao, kwa lengo la kupambana na wanamgambo wa Al-Shabaab.
-
Jeshi la DRC lamkamata askari wa Rwanda, taharuki yatanda
Dec 27, 2024 23:14Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambalo kwa kifupi hujulikana kama FARDC limetangaza kuwakamata askari wa kikosi maalum cha Jeshi la Rwanda wakati wa mapigano huko wilayani Lubero mkoani Kivu Kaskazini huku hali ya taharuki ikitanda katika eneo la mpaka baina ya nchi hizo mbili
-
Wahamiaji 69 wafariki baada ya boti yao kuzama karibu na Morocco
Dec 27, 2024 23:13Takriban watu 69, wakiwemo wahamiaji 25 kutoka Mali, wamekufa baada ya mashua yao kuzama katika pwani ya Morocco.
-
Mamlaka Kenya zakanusha kuwateka wakosoaji wa serikali ya Ruto
Dec 27, 2024 08:24Idara ya upelelezi nchini Kenya, DCI imekanusha madai kwamba, inahusika kwenye visa vya utekaji na kupotezwa kwa wanaharakati wa mitandaoni wanaokosoa uongozi wa rais William Ruto.
-
Silaha za biolojia za Marekani barani Afrika
Dec 27, 2024 07:38Wizara ya Ulinzi ya Russia imefichua nyaraka zinazoonyesha kuwa Marekani imeongeza shughuli zake za silaha za kibiolojia katika bara la Afrika.
-
Wafungwa 6,000 watoroka katika gereza lenye ulinzi mkali Msumbiji
Dec 27, 2024 07:17Wafungwa 6000 wametoroka katika jela moja iliyoko karibu na mji mkuu wa Msumbiji, Maputo katika tukio linalodaiwa kupangwa na kuhusishwa na maandamano ya machafuko yaliyozuka baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Oktoba.