-
Libya ina hamu ya kujiunga na BRICS
Nov 12, 2024 09:17Libya imetangaza kuwa ina hamu ya kujiunga na jumuiya ya uchumi ya BRICS. Hayo yameelezwa na afisa wa wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo.
-
Baraza la Usalama kuzichukulia hatua pande hasimu nchini Sudan
Nov 12, 2024 09:16Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamesema kuwa, wanathathmini azimio lililoandaliwa na Uingereza, kutaka jeshi na wanamgambo wa RSF nchini Sudan, kusitisha mapigano na kuruhusu misaada ya kibindamu kuwafikia mamilioni ya watu walioathiriwa na mzozo huo.
-
Chama tawala Mauritius chakubali kushindwa katika uchaguzi Bunge
Nov 12, 2024 00:23Waziri Mkuu wa Mauritius, Pravind Kumar Jugnauth jana Jumatatu alikubali kushindwa muungano wake wa chama tawala katika uchaguzi wa Bunge ikiwa ni mapema hata kabla ya kutangazwa matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa Jumapili.
-
Takriban watu 11 wameuawa katika shambulio la RSF katikati mwa Sudan
Nov 12, 2024 00:23Takriban watu 11 wameuawa na wengine 18 kujeruhiwa katika shambulio lililofanywa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika kijiji cha al Hodur cha Jimbo la Gezira, katikati mwa Sudan.
-
Wananchi wa Morocco na Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel
Nov 11, 2024 09:31Wananchi wa Morocco na Mauritania wameandamana na kulaani vikali mashambulio ya utawala haramu za Israel na jinai zake dhidi ya wananchi wa Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Baraza la mawaziri la Somalia lamfukuza kazi mkuu wa jeshi na kumteua tena mtangulizi wake
Nov 11, 2024 04:09Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Somalia wiki hii lilimfukuza kazi mkuu wa vikosi vya jeshi Ibrahim Sheikh Muhyadin Addow, na kumteua Meja Jenerali Odowaa Yusuf Rageh kushika wadhifa huo.
-
Raila Odinga kuhuisha ndoto ya kuunganisha nchi za Afrika
Nov 11, 2024 02:38Fikra ya waziri mkuu wa zamani wa Kenya ya kutaka kuziunganisha pamoja nchi za Afrika imemulikwa na kuakisiwa katika vyombo mbalimbali vya habari vya kikanda na kimataida.
-
Kansela wa Ujerumani akiri kuhitilafiana Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine
Nov 10, 2024 23:00Kansela wa Ujerumani amesema kuwa anahitilafiana pakubwa kimitazamo na Waziri Mkuu wa Hungary kuhusu namna ya kushughulikia mgogoro wa Ukraine na kukiri kuwepo hitilafu hizo ndani ya Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine.
-
Maporomoko ya udongo yauwa 12 nchini Cameroon
Nov 10, 2024 22:53Wafanyakazi wa huduma za uokoaji wamepata miili 12 ya watu waliopoteza maisha katika maporomoko ya udongo yaliyomeza barabara huko magharibi mwa Cameroon.
-
Putin: Russia itaendelea kutoa misaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali
Nov 10, 2024 08:47Rais Vladmir Putin wa Russia amesema nchi yake itaendelea kutoa msaada kwa nchi za Afrika katika nyanja mbalimbali, yakiwemo mapambano dhidi ya ugaidi.