-
Wanyarwanda wapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao bungeni
Jul 15, 2024 03:02Mamilioni ya Wanyarwanda leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua rais na wawakilishi wao bungeni.
-
Senegal kuangalia upya mikataba ya mafuta na gesi
Jul 14, 2024 23:17Serikali ya Senegal imetangaza kuwa, itaangalia upya mikataba ya mafuta na gesi iliyotiwa saini na mataifa mbalimbali.
-
WFP yatoa msaada kwa wakazi wa Khartoum sambamba na kuendelea vita nchini Sudan
Jul 14, 2024 23:16Katika hali ambayo ukosefu wa chakula na ongezeko la bei za bidhaa nchini Sudan umewaweka maelfu ya Wasudan katika hali mbaya, Shirika la Mpango wa Chakula Duniani limeamua kutoa msaada wa fedha kwa wakazi wa mji mkuu, Khartoum.
-
Kagame ashambulia ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyolaani serikali ya Kigali
Jul 14, 2024 07:23Rais wa Rwanda Paul Kagame amekosoa ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, akisema kwamba iliandikwa na "wataalamu ambao wanasimulia hadithi kwa njia inayoonyesha kwamba hawana uzoefu katika faili hilo.
-
Ethiopia: Bara la Afrika lina hamu ya kujiunga na BRICS
Jul 14, 2024 07:05Spika wa Bunge la Ethiopia amesema aghalabu ya nchi za Afrika zina hamu ya kuwa wanachama wa kundi la BRICS la mataifa yanayoinukia kiuchumi duniani.
-
DRC: Askari wa UN kutoondoka kutokana na 'uvamizi' wa Rwanda
Jul 14, 2024 03:18Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) huenda kikalazimika kuakhirisha mpango wa kuwaondoa wanajeshi wake katika mkoa unaokumbwa na vita wa Kivu Kaskazini kutokana na kuwepo kwa askari wa Rwanda mashariki mwa DRC.
-
Vita vya uchu wa madaraka baina ya majenerali wa kijeshi vyaendelea kuwatesa vibaya Wasudan
Jul 13, 2024 23:27Wananchi wa Sudan wanaendelea kuteseka kutokana na mgogoro mbaya zaidi wa njaa na mzozo mkubwa wa wakimbizi duniani kutokana na miezi 15 ya vita vya uchu wa madaraka baina ya majenerali wa kijeshi nchini humo.
-
Watu wasiopungua 22 wamefariki dunia baada ya jengo la shule kuporomoka Nigeria
Jul 13, 2024 08:13Watu wasiopungua 22 wakiwemo wanafunzi kadhaa wamethibitika kupoteza maisha baada ya jengo la shule ya ghorofa mbili kuporomoka katikati mwa Nigeria. Taarifa hii imebainishwa leo na maafisa husika wa Nigeria ambao wamesema zoezi la kuwatafuta watu wengine zaidi ya 100 waliosalia chini ya vifusi vya jengo hilo linaendelea.
-
Algeria yasimamisha matamasha ya sanaa kuiunga mkono Gaza
Jul 13, 2024 08:07Wizara ya Utamaduni ya Algeria imetangaza kusimamisha matamasha yote makubwa ya sanaa katika msimu huu wa joto kali, kuonyesha mshikamano na wananchi madhulumu wa Wapalestina wanaoendelea kuuawa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Mkutano kuhusu uhusiano na utawala haramu wa Israel waahirishwa nchini Morocco
Jul 13, 2024 03:38Mkutano uliopangwa na utawala dhalimu wa Israel kuhusu uhusiano wa kawaida na Morocco umeakhirishwa katika nchi hiyo ya kasakzini mwa Afrika kutokana na hofu ya kuibuuka maandamano ya wananchi.