-
WHO: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na janga la kiafya
Jul 13, 2024 03:38Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na janga hatari la kiafya na kutoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukabiliana na hali hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Ugaidi na uhalifu wa kupangwa vyazidi kuwa tishio Sahel Afrika
Jul 13, 2024 03:37Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, ugaidi na uhalifu wa kupangwa na vurugu za makundi ya wanamgambo wanaobeba silaha vimezidi kuwa tishio kwa usalama katika eneo la Sahel Afrika hadi pwani ya Afrika Magharibi.
-
Raia wote wa kigeni watakiwa kuondoka Khartoum, Sudan
Jul 13, 2024 03:35Vyombo vya usalama nchini Sudan vimewataka raia wote wa kigeni kutoka katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum pamoja na viunga vyake.
-
Mashirika ya misaada: Mamilioni ya Wakongo hawajafikiwa na misaada
Jul 12, 2024 22:43Wafanyakazi wa mashirika ya misaada ya kibinadamu na makundi ya kiraia wanasema kuwa, mamilioni ya watu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado hawajafikiwa na misaada licha ya mapigano kusitishwa kwa wiki mbili.
-
Mkuu wa polisi nchini Kenya, Japheth Koome ajiuzulu
Jul 12, 2024 11:27Mkuu wa polisi nchini Kenya, Japheth Koome, amejiuzulu huku kukiwa na ukosoaji kuhusu jinsi polisi walivyojibu maandamano ya hivi majuzi dhidi ya serikali yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 30.
-
Jeshi la Sudan lapiga hatua Sennar, na Al-Burhan anakanusha kuwepo mazungumzo na RSF
Jul 12, 2024 07:58Jeshi la Sudan limetangaza kuwa limewafurusha wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kutoka mji wa Sennar katikati mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 6 wauliwa na jeshi la Niger magharibi mwa nchi
Jul 12, 2024 03:08Kwa uchache magaidi sita wameuliwa na vikosi vya ulinzi na usalama vya Niger karibu na kijiji cha Abdou Gangani katika mkoa wa magharibi wa nchi hiyo wa Tillabery.
-
Ubunifu wa miche ya migomba waleta matumaini kwa wakulima wa ndizi Tanzania
Jul 12, 2024 03:07Wiki iliyopita, banda la Chuo Kikuu cha Mzumbe katika Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya jijini Dar es Salaam lilikuwa na msongamano wa watu.
-
Mauzo ya nje ya kahawa yaiingizia Ethiopia dola bilioni 1.43
Jul 12, 2024 03:05Uuzaji wa kahawa nje ya nchi umeiletea Ethiopia mapato ya dola bilioni 1.43 katika mwaka wa fedha uliomalizika hivi karibuni.
-
Morocco yasaini mkataba wa dola bilioni 1 na Israel inayoua watoto Gaza
Jul 11, 2024 23:33Kama mojawapo ya hatua za kupanua na kuimarisha uhusiano wake na Israel, Morocco imesaini mkataba wenye thamani ya dola bilioni moja na Tel Aviv; wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni unaendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.