-
Save the Children: Raia wa Sudan Kusini wanakabiliwa na hatari kubwa ya baa la njaa
Jul 11, 2024 23:33Shirika lisilo la kiserikali la Save the Children limetahadharisha kuwa, kuna "hatari ya raia kukubwa na njaa" katika miezi ijayo nchini Sudan Kusini, nchi ya Afrika Mashariki ambako mafuriko ya kihistoria yanatishia katika miezi ijayo.
-
Mashinikizo ya vijana yamlazimisha Ruto alivunje Baraza la Mawaziri
Jul 11, 2024 09:32Rais William Ruto wa Kenya ametangaza kulivunja Baraza la Mawaziri kutokana na mashinikizo na maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen-Z. Kwa mujibu wa sheria za Kenya, Rais hana mamlaka ya kumfuta kazi Naibu wake.
-
Burkina Faso yatangaza kupiga marufuku vitendo vya ushoga
Jul 11, 2024 09:26Utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso umeidhinisha muswada wa kupiga marufuku vitendo vya ushoga na usagaji.
-
Uongozi wa kijeshi wa Mali waidhinisha upya shughuli za kisiasa
Jul 11, 2024 03:35Serikali ya kijeshi ya Mali imeamua kuidhinisha upya shughuli za vyama na harakati za kisiasa nchini humo. Utawala wa Mali mapema mwaka huu ulisimamisha shughuli za vyama vya kisiasa baada ya vyama na harakati za kisiasa za nchi hiyo kutuhumiwa kuendesha mijadala ya upotoshaji.
-
Kalonzo: Serikali ya Ruto imejaa uozo, visa vya mauaji ya kiholela; siwezi kujiunga nayo
Jul 10, 2024 23:23Kiongozi wa chama cha Wiper nchini Kenya, Kalonzo Musyoka, amesema hana nia ya kujiunga na serikali ya Kenya Kwanza akisema hataki kuhusishwa na utawala unaoongozwa na Rais William Ruto.
-
Mamia ya Wasudani wakimbia kutoka Sennar kufuatia shambulio la RSF
Jul 10, 2024 23:02Vyanzo vya ndani katika mji wa Dinder, Jimbo la Sennar kusini mashariki mwa Sudan, vimeripoti leo, Jumatano - kwamba mamia ya wakazi wa eneo hilo wamehamishwa kutoka vijiji vya kaskazini mwa mji huo hadi mji wa Gedaref.
-
Ramaphosa: Afrika Kusini itaendelea kuimarisha uhusiano na Iran
Jul 10, 2024 11:26Viongozi wa nchi mbalimbali duniani akiwemo Rais wa Afrika Kusini wameendelea kumpongeza Rais mteule wa Iran, Massoud Pezeshkian kwa kuibuka na ushindi katika duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah asisitiza kuendelezwa uungaji mkono kwa watu wa Palestina
Jul 10, 2024 09:00Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, mapambano ya kuunga mkono watu wa Ukanda wa Gaza yataendelea hadi kutimizwa malengo ya wananchi wa Palestina na ya wanamapambano wa ukombozi.
-
Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yanakabiliwa na hatari ya kuvunjika
Jul 10, 2024 08:51Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini ambayo kwa kiasi kikubwa yalikuwa yanakaribia kukamilika, yamekumbwa na mkwamo baada ya makundi ya upinzani ya nchi hiyo kutaka kufutwa kwa muswada mpya uliopasishwa unaoruhusu kuwekwa kizuizini watu bila kwanza kutolewa hati ya kukamatwa.
-
Mawaziri wa Rwanda, Burundi na DRC kukutana kujadili mzozo wa kidiplomasia
Jul 10, 2024 03:35Mawaziri wa Rwanda, Jamhurii ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi wamekubaliana kukutana kujadili mvutano wa kidiplomasia kati ya nchi zao ambao umetishia usalama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.