-
Maandamano ya Tunisia na Morocco; dhihirisho la kuunga mkono Wapalestina barani Afrika
Oct 28, 2025 08:15Wimbi jipya la uungaji mkono kwa Wapalestina barani Afrika limekwenda sambamba na kulaani vitendo vya kijinai vya utawala haramu wa Israel.
-
Ajali ya ndege yaua 12 Kenya wakiwemo watalii wa kigeni
Oct 28, 2025 08:02Watu 12, wakiwemo watalii, wanahofiwa kufariki dunia katika ajali ya ndege iliyotokea katika eneo la Vyungwani, Matuga, Kaunti ya Kwale, mapema leo Jumanne.
-
Watu wenye hasira waendelea kuandamana Cameroon kupinga ushindi wa Paul Biya
Oct 28, 2025 05:42Maeneo mbalimbali ya Cameroon yameendelea kushuhhudia maandamano ya watu wenye hasira wanaopinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi rais kizee zaidi duniani yaani Paul Biya mwenye umri wa miaka 92.
-
OHCHR: Waasi wa RSF wamefanya ukatili wa kutisha nchini Sudan
Oct 28, 2025 04:26Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR imesema imepokea taarifa za kutisha kuwa waasi wa RSF wanafanya ukatili wa kutisha nchini Sudan.
-
Uchaguzi wa mapema unafanyika Zanzibar leo
Oct 28, 2025 04:23Leo, visiwa vya Zanzibar vimeingia katika hatua muhimu ya mchakato wa uchaguzi kwa kuanza rasmi zoezi la kupiga kura ya mapema, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika kesho, Oktoba 29, katika Tanzania Bara na visiwani.
-
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ashinda kwa kishindo muhula wa nne wa urais
Oct 28, 2025 04:22Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa mwaka huu, akijihakikishia muhula wa nne madarakani kwa ushindi mkubwa wa asilimia 89.77% ya kura zote.
-
Umoja wa Mataifa wataka njia salama kwa raia waliokwama el-Fasher, Sudan
Oct 27, 2025 23:44Umoja wa Mataifa umezitolea mwito pande zinazopigana nchini Sudan kuhakikisha raia waliokwama katika mji wa el-Fasher wanapatiwa njia salama ya kuondoka, baada ya wapiganaji wa kundi la Rapid Support Forces (RSF) kutangaza kuwa wametwaa udhibiti wa kambi kuu ya jeshi katika mji huo.
-
Paul Biya (92) atangazwa mshindi wa kiti cha urais Cameroon
Oct 27, 2025 23:43Baraza la katiba la Cameroon limemtangaza Rais aliyeko madarakani Paul Biya kuwa mshindi wa kiti cha urais kwa karibu asilimia 54% ya kura.
-
Mpinzani mkuu Ivory Coast akubali kushindwa huku matokeo ya awali yakionyesha rais Ouattara anashinda
Oct 27, 2025 08:46Waziri wa zamani wa biashara wa Ivory Coast, Jean-Louis Billon, amekubali kushindwa na Rais aliyepo madarakani, Alassane Ouattara, katika uchaguzi wa urais wa taifa hilo, kufuatia matokeo ya awali yanayoonyesha Ouattara akiongoza katika kura zilizohesabiwa.
-
Rais wa Namibia amfukuza kazi Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo
Oct 27, 2025 03:05Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah wa Namibia jana alimfukuza kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Viwanda, Natangwe Ithete.