-
Wanamgambo wa RSF waafiki pendekezo la kusitisha vita Sudan
Nov 07, 2025 03:38Vikosi vya Usaidizi wa Haraka vya Sudan (RSF) vimetangaza kwamba vinakubali usitishaji vita uliopendekezwa na Kamati ya Kimataifa ya Pande Nne.
-
Rwanda yashutumu ujumbe wa Umoja wa Mataifa kwa mafunzo ya jeshi la DRC
Nov 07, 2025 00:15Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda, amekosoa ujumbe wa kueneza amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO) kwa kutoa mafunzo kwa wanajeshi 120 wa DRC.
-
Afrika Kusini yachunguza madai ya raia wake kupigana kama mamluki kwenye vita vya Ukraine
Nov 06, 2025 23:05Afrika Kusini imesema kuwa, raia wake 17 waliojiunga na makundi ya mamluki katika vita vya Russia na Ukraine wameomba msaada wa kuokolewa kutoka kwenye eneo la Donbas ambako mapigano yanaendelea.
-
Zaidi ya watu 30 wapoteza maisha katika mafuriko nchini Sudan
Nov 06, 2025 23:03Mafuriko makubwa yamelikumba Jimbo la Nile nchini Sudan na kupelekea zaidi ya watu 30 kupoteza maisha na maelfu ya wengine kukwama kutokana na nyumba na maeneo yao kujaa maji ya mafuriko.
-
Waangalizi wa AU: Uchaguzi wa Tanzania haukukidhi viwango vya kimataifa
Nov 06, 2025 07:42Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Afrika katika uchaguzi mkuu wa wiki iliyopita nchini Tanzania uliogubikwa na ghasia umeeleza kuwa uchaguzi huo haukukidhi viwango vya kimataifa vya kidemokrasia.
-
EU yataka kufunguliwa korido ya kibinadamu mashariki mwa Kongo
Nov 06, 2025 07:39Afisa wa Umoja wa Ulaya ametoa wito kwa pande husika katika mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufungua koridi ya kibinadamu na kuruhusu kuanza kuingia kwa ndege za misaada ya kibinadamu.
-
Mashirika ya UN yaonya kuhusu ukatili dhidi ya raia wanaokimbia El Fasher, Sudan
Nov 06, 2025 04:15Mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa yamesema Jumatano kuwa yana wasiwasi mkubwa kufuatia taarifa za kuongezeka kwa ukatili na madhila dhidi ya raia wanaokimbia mji wa El Fasher, Sudan.
-
Mashujaa wa Mau Mau Kenya waishtaki serikali wakitaka fidia ya shilingi bilioni 10
Nov 05, 2025 23:50Waliokuwa wapiganaji wa Mau Mau nchini Kenya kutoka Kaunti ya Meru wameishtaki Serikali, wakitaka iwalipe fidia ya shilingi bilioni 10 kwa vitendo vya ukiukaji wa haki walivyotendewa baada ya nchi hiyo kupata uhuru.
-
Mahakama ya Juu Mauritania yaidhinisha kifungo cha miaka 15 jela alichohukumiwa rais wa zamani
Nov 05, 2025 22:59Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, ameshindwa katika rufaa yake ya mwisho aliyokata ya kupinga kifungo cha miaka 15 jela alichohukumiwa baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na ufisadi alipokuwa madarakani. Mahakama ya Juu ya Mauritania imeidhinisha hukumu hiyo.
-
Kamanda wa RSF ajigamba kuwaua raia 2,000 El Fasher, Sudan; ICC yaanza uchunguzi
Nov 05, 2025 09:05Video za kushtua zimeibuka zikimuonesha kamanda wa kikundi cha waasi wa RSF nchini Sudan akijigamba kwa kuwaua binafsi zaidi ya raia 2,000 wakati wa utekaji wa mji wa El Fasher ulioko Darfur.