-
Jumatano, Februari 19, 2025
Feb 18, 2025 23:29Leo ni Jumatano tarehe 20 Sha'ban 1446 Hijria sawa na tarehe 19 Februari mwaka 2025.
-
Jumatatu, 17 Februari, 2025
Feb 16, 2025 23:03Leo ni Jumatatu 18 Shaaban 1446 Hijria sawa na 17 Februari 2025.
-
Ulimwengu wa Spoti, Feb 17
Feb 17, 2025 03:06Hujambo mpenzi na ashiki wa spoti, natumai u mzima wa afya. Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa ndani ya siku zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Magaidi wafanya shambulio jingine baya la kigaidi Mali + Video
Feb 08, 2025 22:54Takriban watu 40 wameuawa baada ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) kushambulia msafara wa usambazaji bidhaa katika nchi ya Kiafrika ya Mali.
-
Ulimwengu wa Spoti, Feb 3
Feb 03, 2025 03:30Mkusanyiko wa matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, katika pembe mbali mbali za dunia….
-
Baraza la Mawaziri latangaza tena itiifu wao kwa malengo ya kiongozi mwasisi, Imam Khomeini
Feb 01, 2025 09:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na baraza lake la mawaziri mapema leo wamezuru haram ya mwasisi Jamhuri ya Kiislamu na kutangaza tena utiifu na mfungamano wao kwa thamani na malengo ya Imam Ruhullah Khomeini (Mwenyezi Mungu amrehemu).
-
Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yamebadilisha utaratibu wa dunia: Mhadhiri mwandamizi wa Ghana
Feb 01, 2025 09:26Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Ghana Dk Munir Mustapha amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha mfumo wa dunia na ameyataja kuwa ndiyo yenye nguvu kubwa na ambayo yamekuwa na taathira kubwa imeyozidisha ushawishi wa Iran katika eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumbe wake wa demokrasia ya kidini.
-
Uongozi wa Imam Khomeini (RA) na athari zake katika kufanikiwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Jan 31, 2025 10:02Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Radio Tehran katika mfululizo wa vipindi vyetu vya Alfajiri Kumi na hiki ni kipindi chetu cha kwanza katika kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 27
Jan 27, 2025 05:07Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa…..
-
Ni yepi malengo ya mradi wa "Sesame Street" katika nchi za Kiislamu?
Jan 23, 2025 13:23Hamjambo na karibuni katika kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitaangazia malengo ya ya mradi wa "Sesame Street" katika nchi za Kiislamu na Kiarabu...