-
Kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran na utegemezi wa Uingereza kwa Marekani
Jul 12, 2019 09:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran katika lango bahari la Jabal Tariq (Gibraltar) ni kielelezo cha utegemezi wa Uingereza kwa Marekani.
-
Zarif: Wamarekani wametengwa katika siasa za kimataifa
Jul 11, 2019 07:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezitaja siasa na machaguo yasiyofaa ya Marekani kuwa miongoni mwa sababu za ushindi wa muqawama na kutengwa Washington katika uga wa siasa za kimataifa.
-
Baada ya kupokea ujumbe wa Macron, Rais Rouhani asema: Iran imeacha wazi njia ya udiplomasia
Jul 11, 2019 01:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema jana jioni baada ya kupokea ujumbe wa maandishi kutoka kwa mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron kwamba, Iran imeacha wazi kikamilifu njia ya udiplomasia na mazungumzo.
-
Jeshi la Sepah lakadhibisha madai ya Marekani, lasema halijafuatilia meli ya mafuta ya Uingereza
Jul 11, 2019 01:53Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) limekadhibisha madai yaliyotolewa na maafisa wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon kwamba jeshi hilo limefanya jitihada za kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Karzai: Iran ina nafasi chanya na muhimu katika kurejesha usalama na amani Afghanistan
Jul 10, 2019 23:30Hamid Karzai, rais wa zamani wa Afghanistan amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ina nafasi chanya na muhimu sana katika kurejesha amani, kudhamini usalama na kustawisha uchumi wa Afghanistan.
-
Rais Rouhani: Waingereza ndiyo walioanzisha ukosefu wa amani baharini
Jul 10, 2019 07:03Rais wa jamhuri ya kiislamu ya Iran amesema kuwa hatua ya Uingereza ya kusimamisha meli ya mafuta ya Iran ni ya kitoto sana, kipumbavu na ni makosa na kwamba Waingereza ndio walioanzisha machafuko na ukosefu wa amani baharini na watakuja kuona athari zake mbaya.
-
Takht-Ravanchi: Marekani inalisaidia genge la kigaidi la MKO kufanya jinai nchini Iran
Jul 10, 2019 03:32Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani inalisaidia kwa hali na mali genge la kigaidi la MKO lenye historia chafu ya kutenda jinai dhidi ya wananchi na maafisa wa Iran.
-
Polisi wa Iran auawa shahidi akipambana na magenge ya mihadarati
Jul 10, 2019 03:26Afisa mmoja wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuawa shahidi wakati akipambana na magenge ya madawa ya kulevya katika eneo la Minab, mkoani Hormozgan, kusini mwa Iran.
-
Uwezo wa kiulinzi wa Iran sio wa kutiwa dosari
Jul 09, 2019 06:17Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, uwezo wa kiulinzi wa taifa hili si jambo la kutiwa dosari.
-
Meja Jenerali Baqeri: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu uadui wowote ule
Jul 09, 2019 03:55Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema kuwa, majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yako tayari kujibu kwa nguvu zote uadui wowote ule dhidi yake.