-
Waziri Mkuu Malaysia: Marekani isijaribu kuivamia kijeshi Iran
Jun 22, 2019 11:28Waziri Mkuu wa Malaysia amewaonya viongozi wa Marekani kuwa wasijaribu kuingia vitani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Hatukaribishi vita lakini tuko tayari kujihami kwa nguvu zote
Jun 22, 2019 07:40Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, majeshi na wananchi wa Iran hawataki vita lakini daima wako imara kuihami na kuilinda nchi yao.
-
Jibu Kali la Iran dhidi ya uchokozi wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi
Jun 22, 2019 03:13Kulinda mipaka ya nchi kavu, majini na angani ni haki ya kila nchi na hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kutungua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyoingia katika anga yake kusini mwa nchi imeonesha tena kwamba Iran haitazembea hata kidogo katika kulinda mipaka yake.
-
Iran inashirikiana kiuchumi na zaidi ya nchi 70 duniani
Jun 22, 2019 02:52Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina ushirikiano wa karibu wa kiuchumi na zaidi ya nchi 70 duniani.
-
Iran ilijizuia kutungua ndege nyingine ya kijasusi ya Marekani iliyokuwa na watu 35
Jun 21, 2019 22:44Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC limetangaza kuwa: "Iran ilijizuia kutungua ndege ya kijeshi ya Marekani iliyokuwa na watu 35 ndani yake na ambayo ilikuwa imeandamana na ndege isiyo na rubani (drone) ya kijasusi iliyotunguliwa."
-
Iran yaonyesha mabaki ya Drone ya Marekani iliyotunugliwa
Jun 21, 2019 10:42Iran imeonyesha mabaki ya ndege isiyo na rubani (drone) ya kijasusi ya Marekani ambayo ilitunguliwa mapema Alhamisi baada ya kikuka anga ya Iran.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Lango Bahari la Hormoz ni kaburi la wavamizi
Jun 21, 2019 09:52Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo Tehran ameashiria hatua ya kutunguliwa ndege isiyo na rubani (drone) ya Marekani ambayo ilikuwa imekiuka anga ya Iran na kusema: "Wakuu wa Marekani wafahamu kuwa, Lango Bahari la Hormoz daima litakuwa kaburi la wavamizi."
-
Iran: Tulitoa onyo mara chungu nzima kabla hatujaitungua ndege ya Marekani
Jun 21, 2019 06:09Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Khatamul Ambiyaa SAW cha Iran amesema kuwa, kutojali Wamarekani sheria za kimataifa ndiko kulikopelekea ndege yao ya kijasusi itunguliwe na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) hasa baada ya kudharau tahadhari na maonyo mengi yaliyotolewa.
-
Zarif: Iran italinda mipaka yake ya maji, ardhi na anga
Jun 21, 2019 03:06Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Iran itatumia nguvu zake zote kulinda mipaka yake ya maji, ardhi na anga.
-
Kamanda wa IRGC: Drone ya Marekani iliingia katika mipaka ya Iran na kutunguliwa
Jun 20, 2019 06:35Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiisalmu (IRGC) amesema: "Kutunguliwa ndege ya kijasusi ya Marekani katika mipaka ya Iran ni ujumbe wa wazi kabisa kuwa mipaka ya Iran ni mstari mwekundu."