-
Kiongozi Muadhamu: Fikra na njia za Imam Khomeini (MA) zinaendelea kuyavutia mataifa kila siku
Jun 05, 2019 00:06Jumanne ya jana Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alikutana na mkusanyiko mkubwa wa matabaka ya wananchi wa Iran katika Haram tukufu ya Imam Khomeini (MA) nchini hapa.
-
Gerald Horne: Harakati za Imam Khomeini zilikuwa na taathira katika ushindi dhidi ya utawala Apartheid
Jun 04, 2019 12:33Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Huston nchini Marekani, Gerald Horne amesema kuwa harakati za Imam Ruhullah Khomeini nchini Iran zilitayarisha uwanja nzuri wa ushindi wa wapigania uhuru wa Afrika Kusini dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo, (apartheid) na katika mataifa mengine ya dunia.
-
Iran yaliasa jeshi la Sudan likabidhi madaraka kwa raia
Jun 04, 2019 09:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kueleza kusikitishwa kwake na machafuko ya kisiasa nchini Sudan, imetoa mwito kwa Baraza la Mpito la Kijeshi kukabidhi madaraka kwa raia kama wanayoshinikiza wananachi wanaoandamana kwa miezi kadhaa sasa.
-
Iran na Korea Kusini zasisitizia kutatua matatizo ya kibenki kati yao
Jun 04, 2019 08:38Waziri wa Uchumi wa Korea Kusini amekutana na Gavana wa Benki Kuu ya Iran na kusisitizia umuhimu wa kuzidishwa uhusiano wa pande mbili na kufanya jitihada zaidi kwa ajili ya kutatua matatizo ya kibenki.
-
Iran yaionya Saudi Arabia kutokana na chokochoko zake dhidi ya Tehran
Jun 04, 2019 02:39Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa ameionya Saudi Arabia iache kushirikiana na Marekani katika chokochoko zake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umewalenga wananchi wa Iran
Jun 04, 2019 02:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba, ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umewalenga wananchi wa Iran.
-
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kufariki dunia Imam Khomeini MA
Jun 03, 2019 22:21Jumanne ya leo ya tarehe 14 Khordad 1398 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe 4 Juni 2019 Milaadia na ambayo kwa mwaka huu imesadifiana na tarehe 29 Ramadhani 1440 Hijria Qamaria ni siku ya kukumbuka mwaka wa 31 wa kufariki dunia Imam Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran kulinda ardhi yake mbele ya hujuma za adui
Jun 03, 2019 21:47"Hatutasita hata kidogo katika kulinda ardhi yote na usalama wa taifa wa nchi hii". Haya yamesemwa na Meja Jenerali Mohammad Bagheri Kamanda wa Vikosi vya Majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika ujumbe wake uliotolewa kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 30 tangu mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu hayati Imam Ruhullah Khomeini alipofariki dunia.
-
Iran inatazamia kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr Jumatano ya Juni 5
Jun 03, 2019 06:18Wananchi Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanatazamiwa kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr siku ya Jumatano, Juni 5.
-
IRGC: Kwa uwezo wake mkubwa, Iran itapita kipini cha vitisho na vikwazo
Jun 03, 2019 06:10Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa taarifa na kusema: "Mapambano au muqawama na kusimama kidete taifa la Iran ni nukta ambazo zitavunja njama za adui."