-
Waislamu wa Iran na maeneo mengine ya dunia wakumbuka kifo cha mbora wa viumbe, Muhammad (saw)
Aug 21, 2025 23:43Wananchi Waislamu wa Iran kuanzia jana usiku wanashiriki katika maombolezo ya kukumbuka siku alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW. Shughuli za kumbukumbu ya kifo cha Mtume (SAW) zinafanyika katika kona zote za nchi hususan misikitini, katika Haram na maeneo mengine ya ibada.
-
Araghchi: Iran inajiandaa kutoa jibu kwa hatua yoyote ya "snapback" itakayochukuliwa na Ulaya
Aug 20, 2025 23:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewatahadharisha wahusika wa Ulaya katika makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 kwamba kutumia mbinu ya "snapback" ni kinyume cha sheria, lakini Tehran imejiandaa kutoa majibu kwa jaribio lolote la kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi hiyo.
-
Kamanda: Majeshi ya Iran yako tayari kikamilifu kukabiliana na vitisho
Aug 20, 2025 23:34Kamanda mkuu wa kijeshi wa Iran amesisitiza kuwa Majeshi ya Iran yako katika hali ya tahadhari kamili ili kukabiliana na vitisho vyovyote vya uvamizi kutoka kwa maadui wa nchi hii.
-
Pezeshkian: Iran, Belarus zimesimama kidete kukabiliana na ubeberu wa US
Aug 20, 2025 09:03Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Marekani na baadhi ya washirika wake wa Magharibi wanalenga kupanua ubeberu na msimamo wa upande mmoja duniani kote, sambamba na kuyaburuza mataifa mengine, akisisitiza kwamba si Iran wala Belarus itavumilia muenendo huo.
-
Komandi ya jeshi ya ngazi ya juu ya Iran: Vikosi vya ulinzi viko tayari kuzima vitisho vyovyote
Aug 20, 2025 08:43Kamandi ya jeshi ya ngazi ya juu ya Iran imesisitiza utayarifu kamili wa jeshi la nchi hii katika kupambana na vitendo vyovyote vya uchokozi vinavyoweza kufanywa na maadui dhidi ya ardhi ya Iran.
-
Faili chafu la uingiliaji wa Marekani katika masuala ya Iran; kuanzia Mapinduzi ya Agosti 1953 hadi Vita vya Siku 12
Aug 20, 2025 06:12Miaka 72 iliyopita mnamo Agosti 19, 1953, Wamarekani waliandaa mapinduzi ya kijeshi yaliyoiondoa madarakani serikali halali iliyochaguliwa na wananchi nchini Iran, hatua iliyoashiria kuanza kwa uadui wa kudumu wa viongozi wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran unaoendelea hadi leo.
-
Kampuni ya Iran yazindua dawa ya kutibu kisukari aina ya 2 na unene kupita kiasi
Aug 19, 2025 23:16Kampuni ya kitaaluma ya Iran imezindua dawa ya asili iliyoundwa nchini, inayolenga matibabu ya wagonjwa wanaougua kisukari aina ya 2, kinachojulikana kama T2D, unene kupita kiasi, pamoja na tatizo la usingizi wa kupumua kwa shida (sleep apnea).
-
Iran na Armenia zatia saini hati 10 za maelewano wakati wa ziara muhimu ya Pezeshkian
Aug 19, 2025 08:06Iran na Armenia zimetia saini hati 10 za maelewano kuhusu ushirikiano wa nchi hizo katika nyanja zote wakati wa ziara muhimu ya kiserikali ya Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Armenia. Lengo la ziara hiyo limetajwa kuwa ni kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani: Zaidi ya 70% ya raia wa Afghanistan wamerudi nchini mwao kwa hiari yao
Aug 19, 2025 03:24Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa zaidi ya asilimia 70 ya raia wa Afghanistan wamerudi nchini mwao kwa hiari yao.
-
Naibu kamanda wa IRGC: Israel ilikwenda kombo katika hesabu zake katika vita vya siku 12 dhidi ya Iran
Aug 18, 2025 23:27Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa Israel ilifanya mahesabu ghalati katika vita vya sku 12 ilivyovianzisha dhidi ya Iran licha ya kwamba utawala huo ulitumia nguvu kamili dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.