-
Iran: Nyuklia na kuondolewa vikwazo ndizo maudhui pekee za mazungumzo
Apr 09, 2025 23:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Suala la nyuklia kwa maana ya kuhakikisha mradi wa nyuklia wa Iran ni wa amani kikamilifu na kuondolewa vikwazo, ndiyo masuala pekee yanyojadiliwa kwenye mazungumzo.
-
Kuidhinishwa makubaliano ya pande zote baina ya Iran na Russia katika Duma kuna umuhimu gani?
Apr 09, 2025 23:19Bunge la Duma la Russia Jumanne (Aprili 8) liliidhinisha Mkataba wa Ushirikiano Kamili wa Kimkakati kati ya Russia na Iran.
-
Pezeshkian: Iran katu haitaacha haki zake za nyuklia
Apr 09, 2025 09:04Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametangaza kwa msimamo thabiti kuwa Iran haitalegeza msimamo wala haitakubali masharti yoyote yanayohusu mafanikio yake ya nyuklia, huku akikosoa vikali vitisho vya kijeshi kutoka Marekani.
-
Iran yaadhimisha Siku ya Teknolojia ya Nyuklia kwa kuzindua bidhaa nane
Apr 09, 2025 09:03Rais Masoud Pezeshkian ametembelea maonyesho ya mafanikio ya nyuklia huku Iran ikiadhimisha Siku yake ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia kwa kuzindua bidhaa nane.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Mazungumzo ya Oman ni 'jaribio la kupima umakini wa Marekani'
Apr 09, 2025 09:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema kuwa mazungumzo ya Iran yatakayofanyika Oman siku ya Jumamosi ni fursa ya kupima umakini wa Marekani, ambayo ina historia ya kuwa na nia mbaya.
-
Waandamanaji Tehran walaani mauaji ya kimbari ya Israel yaliyoshadidi Gaza
Apr 09, 2025 09:00Watu wa Iran wamekusanyika kuonyesha msaada wao wa dhati kwa Wapalestina wanaoteseka kutokana na umwagaji damu wa kikatili na vitendo “visivyo vya kibinadamu” vya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza ulioko chini ya mzingiro.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Mpira sasa uko upande wa Marekani
Apr 09, 2025 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza katika andiko lililochapishwa na gazeti la Washington Post: "mpira sasa uko upande wa Marekani, na ikiwa Washington inatafuta suluhu ya kweli ya kidiplomasia, sisi tayari tumeshatangulia kuonyesha njia ya kuifikia."
-
Iran na Marekani kuzungumza kwa njia isiyo ya moja kwa moja nchini Oman
Apr 08, 2025 23:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, na mjumbe wa Marekani katika masuala ya Asia Magharibi, Steve Witkoff, wanatarajiwa kushiriki katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yatakayofanyika siku ya Jumamosi katika mji mkuu wa Oman, Muscat.
-
Wanamitandao wa Iran: "Trump anasema uwongo", "Marekani Shetani hatoki hatiani kwa mazungumzo"
Apr 08, 2025 07:16Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma jumbe mbalimbali za kukosoa sera za Rais wa Marekani dhidi ya Iran na ushirikiano wake na viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kufanya jinai za kivita huko Ghaza.
-
Araghchi: Iran, US zitafanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja Oman
Apr 08, 2025 03:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu na Marekani zitafanya "mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya ngazi ya juu" nchini Oman karibuni hivi.