-
Pezeshkian: Wamarekani wathibitishe kivitendo kuwa kweli wanataka mazungumzo
Apr 07, 2025 22:59Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, viongozi wa Marekani wana wajibu wa kuthibitisha kivitendo kuwa kweli wanataka mazungumzo na Tehran.
-
Wimbi la hasira za walimwengu liwakumbe Wazayuni na wenzao
Apr 07, 2025 10:28Mjumbe wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu ambaye pia ni Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amegusia jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Ghaza na kusisitiza kwambaa, kuna udharura kwa wimbi la hasira za walimwengu liukumbe utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake.
-
Ulaya inapoteza itibari ya kimaadili kwa kuitetea Israel
Apr 07, 2025 03:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Iran amesema bara Ulaya linapoteza itibari ya kimaadili kwa kuutetea utawala wa Kizayuni wa Israel na kwa msingi huo itajipata katika upande mbaya wa historia.
-
Ukosoaji wa Iran kwa namna Magharibi inavyolitumia kisiasa suala la haki za binadamu
Apr 07, 2025 03:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa hatua ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi yake na kueleza kwamba kulitumia kisiasa suala la haki za binadamu ni sababu muhimu ya kupoteza imani kwa taasisi hiyo na imesisitiza kuwa, nchi zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ghaza hazina ustahiki wa kutoa madai ya kutetea haki za binadamu.
-
Meja Jenerali Bagheri: Majibu ya Iran kwa barua ya Marekani yametolewa kwa msingi wa mantiki na nguvu
Apr 06, 2025 23:53Mkuu wa Majeshi ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran si mpenda vita, lakinii itakabiliana vikali kitendo chochote cha uonevu na uchokozi.
-
Wanaharakati Iran watangaza kuwa tayari kupambana na Marekani
Apr 06, 2025 23:15Wanaharakati zaidi ya 300 wa jumuiya za kiraia nchini Iran wamepinga vikali vitisho vya Marekani vya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya nchi yao, wakiapa kukabaliana na uvamizi wowote wa kigeni.
-
Araghchi: Hakujakuwa na mazungumzo yoyote kati ya Iran na Marekani
Apr 07, 2025 03:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza tena kuwa Iran iko tayari kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani, lakini amebainisha kuwa hadi sasa hakuna duru yoyote ya mazungumzo ya moja kwa moja iliyowahi kufanyika kati ya mataifa hayo mawili.
-
Araghchi: Diplomasia ya Iran inazuiliwa na vitisho vya kivita vya Marekani
Apr 06, 2025 10:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepuuzilia mbali mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani na kuyataja kuwa yasiyo na maana kutokana na vitisho vya Washington vya kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Iran.
-
Mkuu wa IRGC: Iran inazijua fomyula za vita, haitarudi hata 'hatua moja' nyuma kumkabili adui
Apr 06, 2025 03:16Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejifunza fomyula za kumshindia adui na haitarudi nyuma hata "hatua moja" endapo itaandamwa na vitisho.
-
Iran: Vitisho vya US vinakinzana na wito wake wa diplomasia
Apr 05, 2025 23:29Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa lugha ya vitisho dhidi ya Tehran, akisisitiza kuwa nchi hii iko tayari kufanya mazungumzo lakini "katika mazingira ya usawa."