-
Rais Pezeshkian: Mazungumzo kati ya Wasyria wote ni muhimu ili kufikia muafaka
Dec 09, 2024 04:39Rais wa Iran Masoud Pezeshkian anasema kuwa makundi yanayopingana nchini Syria yanapaswa kufungua mazungumzo ili kufikia makubaliano kuhusu uongozi wa kisiasa wa nchi hiyo baada ya wanamgambo kuchukua udhibiti wa Damascus.
-
Araghchi: Ilishangaza namna Jeshi la Syria lilishindwa kukabiliana na wanamgambo
Dec 09, 2024 04:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu ilikuwa imeifahamisha serikali ya Syria kuhusu mashambulio yaliyokuwa yakipangwa na wanamgambo kabla hayajaanza. Ameongeza kuwa imeshangaza jinsi Jeshi la Syria lilipoteza uwezo wa kukabiliana na mashambulizi hayo yaliyokuwa na kasi kubwa.
-
Kikao cha Tehran: Nchi zinazosafirisha gesi kwa wingi duniani zasisitiza umoja
Dec 09, 2024 04:37Washiriki katika mkutano wa ishirini na sita wa nchi zinazozalisha gesi kwa wingi duniani wamemaliza kikao cha Tehran kwa kutoa tamko kuhusu umuhimu wa umoja na mshikamano kati ya nchi wanachama.
-
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu matukio ya Syria
Dec 09, 2024 00:15Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imesisitiza kuwa, kuainishwa hatima na kufanya maamuzi kuhusu mustakbali wa Syria ni jukumu la pekee la wananchi wa nchi hiyo bila ya uingiliaji haribifu wala kulazimishwa na mataifa ya kigeni.
-
Iran: Mpango wa amani wa nyuklia wa Iran uko uwazi na chini ya usimamizi wa IAEA
Dec 08, 2024 04:33Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, mradi wa amani wa nyuklia wa Iran uko wazi na unafanyika chini ya usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Iran yakanusha uvumi wa kufunga ubalozi wake mjini Damascus Syria
Dec 07, 2024 08:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepuuzilia mbali uvumi unaodai kuwa Tehran imefungwa Ubalozi wake nchini Syria kufuatia kuibuka tena makundi ya wanamgambo wenye silaha nchini humo.
-
Iran: Tishio la vikundi vyenye silaha 'sio tu' kwa Syria, bali pia majirani wako hatarini
Dec 07, 2024 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema tishio la makundi yenye silaha nchini Syria halitaishia tu nchini humo bali litaenea hadi Iraq, Jordan na Uturuki.
-
Kurushwa chombo cha anga za mbali cha "Saman 1" ni mafanikio muhimu kwa wanasayansi wa Iran
Dec 07, 2024 03:28Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Iran amesema kurushwa kwa mafanikio katika anga za mbali chombo cha "Saman 1" kunaleta matumaini ya mustakabali mwema wa kombora au roketi la kimkakati la Simorgh ambalo hutumika kubeba satalaiti.
-
Sisitizo la Putin la kustawishwa ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na Russia
Dec 07, 2024 00:36Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa, uhusiano wa kibiashara na kiuchumi wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni imara, unazidi kutia matumaini na bila ya shaka yoyote mwaka huu, kiwango cha mabadilishano ya kibiashara baina ya nchi hizi mbili, kitaongezeka.
-
Iran yaitaka Ukraine iache kuwaunga mkono na kuwasaidia magaidi eneo la Asia Magharibi
Dec 06, 2024 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeitaka Ukraine iache kuunga mkono magaidi katika eneo la Asia Magharibi.