-
Iran yasema vitendo ni muhimu kuliko matokeo ya uchaguzi Marekani
Nov 11, 2024 10:00Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema utendaji wa Marekani kuhusu masuala ya kieneo na jinai za utawala wa Israel huko Gaza na Lebanon pamoja na sera zake kuhusu Iran ni muhimu zaidi kuliko matokeo ya uchaguzi wa nchi hiyo.
-
Mtandao wa "Mir" wa Russia waunganishwa na "Shetab" wa Iran
Nov 11, 2024 09:34Mtandao wa Mir miamala ya kibenki na kifedha wa Russia hii leo umeunganishwa na mtandao wa benki wa Iran (Shetab) katika hafla iliyohudhuriwa na Gavana wa Benki Kuu ya Iran.
-
Iran yatengeneza dawa ya vidonda vya mguuni vinavyosababishwa na kisukari
Nov 11, 2024 04:28Kwa mara ya kwanza, kampuni ya maarifa ya kisayansi na ujuzi ya Iran imefanikiwa kusambaza dawa ya kutibu vidonda vya miguu vinavyosababishwa na maradhi ya kisukari na vile vya kuungua.
-
Wakuu wa majeshi ya Iran na Saudi Arabia wajadili diplomasia ya ulinzi mjini Tehran
Nov 11, 2024 04:26Viongozi wa ngazi ya juu wa majeshi ya Iran na Saudi Arabia wamejadili njia za kuboresha diplomasia ya ulinzi kati ya nchi mbili huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendelea kuzidisha mivutano na wasiwasi katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Rais wa Iran: Mkutano wa kilele wa Riyadh unaweza kusaidia kukomesha uhalifu wa Israel
Nov 10, 2024 23:59Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema ana imani kwamba mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu utatoa matokeo "yakinifu na yanayoonekana" katika kusimamisha ukatili wa utawala wa Israel huko Gaza na Lebanon.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haina lengo la kumiliki silaha za nyuklia
Nov 10, 2024 23:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza suala la kujenga hali ya kuaminiana kimataifa na kusema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haijawahi kutaka kumiliki silaha za nyuklia na haina lengo hilo.
-
Waziri wa Sheria alaani vikwazo visivyo vya kiadilifu vya Marekani na Magharibi dhidi ya Iran
Nov 10, 2024 22:51Waziri wa Sheria wa Iran amelaani vikwazo visivyo vya kiadilifu vya Marekani na nchi za Magharibi kwa ujumla dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Spika wa Bunge: Iran haiathiriwi na matokeo ya uchaguzi wa marais wa nchi za kigeni
Nov 10, 2024 08:38Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amesema uwezo wa Iran wa kutetea maslahi yake hautaathiriwa na kuchaguliwa au kuondolewa madarakani marais wa nchi nyingine.
-
Shahidi Nasrullah, nembo azizi ya muqawama na mapambano dhidi ya dhulma
Nov 10, 2024 06:31Kongamano la Kimataifa la Fikra za Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, limefanyika mjini Tehran kwa lengo la kuchunguza na kutambua mielekeo mbalimbali ya kifikra na kimaarifa ya shahidi huyo pamoja na nafasi yake ya kisiasa katika kukabiliana na kiburi cha Wazayuni, ambapo wataalamu na wanafikra kutoka nchi 13 wameshiriki.
-
Iran: Ushindi wa Trump hautakuwa na athari yoyote kwa uchumi wetu
Nov 10, 2024 03:21Gavana wa Benki Kuu ya Iran (CBI), Mohammad-Reza Farzin amesema kuchaguliwa tena Donald Trump kuwa rais wa Marekani hakuna mfungamano wowote na ustawi wa uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu.