-
Araghchi: Muqawama unaimarika licha ya kuwepo njama za maadui
Jan 07, 2025 23:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema fikra za muqawama zimekuwa zikiimarika katika miezi ya hivi karibuni licha ya majaribio ya maadui ya kudhoofisha fikra hizo.
-
Kamanda wa Jeshi la Anga: Operesheni ngumu zaidi na za kushangaza mno za anga ulimwenguni zimefanywa na Iran
Jan 07, 2025 11:13Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, operesheni zenye mafanikio za Jeshi la Anga kama vile operesheni ya H3 ni matokeo ya idili na mipango imara ya makamanda mahiri na marubani wazoefu wa Iran. Historia imerekodi marubani hao wa Iran wakiendesha operesheni tata sana zilizoishangaza dunia.
-
Mifumo mipya ya ulinzi wa anga isiyojulikana kujaribiwa katika mazoezi ya Jeshi la Iran
Jan 07, 2025 03:06Kamanda wa Kambi ya Pamoja ya Ulinzi wa Anga ya Iran ametangaza kuwa vitengo vya ulinzi wa anga vya Jeshi la Taifa na Jeshi la Walinzi wa Mapindizi ya Kiislamu (IRGC) vimewekwa karibu na vituo nyeti, vikiwa na mifumo mipya ya ulinzi wa anga ambayo itafanyiwa mazoezi siku chache zijazo, katika luteka ya Jeshi la Iran
-
Salami: Mhimili wa Muqawama upo katika 'kilele cha nguvu zake"
Jan 06, 2025 10:11Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema kuwa Mhimili wa Muqawama katika eneo la Magharibi mwa Asia upo katika kilele cha nguvu zake.
-
Iran: Mhimili wa Muqawama hauwezi kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake
Jan 05, 2025 23:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameuelezea Mhimili wa Muqawama kuwa ni "Piganio Takatifu" lisiloweza kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake.
-
Iran yalaani kuendelea mashambulizi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen
Jan 05, 2025 07:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi mapya ya anga ya Marekani na Uingereza kwenye miundombinu ya mkoa wa Sa'ada wa kaskazini mwa Yemen.
-
Iran yalaani mripuko mbaya wa bomu uliotokea Baluchistan Pakistan
Jan 05, 2025 07:57Iran imelaani vikali shambulio baya lililolenga msafara wa magari yaliyokuwa yamebeba wanajeshi na wafanyakazi katika jimbo la Baluchistan la kusini magharibi mwa Pakistan.
-
Kamanda: Majeshi ya Iran yako tayari kukabiliana na hujuma yoyote
Jan 05, 2025 00:08Kamanda wa Vikosi vya Nchi Kavu vya Jeshi la Iran amesisitiza kuwa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu litakabiliana na hujuma yoyote dhidi ya ardhi ya nchi.
-
Rais wa Iran kufanya safari nchini Tajikistan
Jan 05, 2025 00:07Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni anatarajiwa kufanya safari ya kikazi nchini Tajikistan.
-
Jeshi la IRGC la Iran laanza mazoezi makubwa kuimarisha utayari wa kivita
Jan 04, 2025 10:05Kikosi cha nchi kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limeanzisha mazoezi makubwa na maalum katika jimbo la Kermanshah magharibi mwa Iran, kama sehemu ya juhudi za kuongeza utayari wao wa kivita na kujiandaa zaidi kukabiliana na vitisho vya usalama dhidi ya nchi.