-
Grossi: Hatuna ushahidi wa madai ya jaribio la Iran kutengeneza silaha za nyuklia
Mar 05, 2024 03:55Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, (IAEA) Rafael Grossi, amesema kwamba hana ushahidi wowote au habari inayothibitisha kwamba "Iran inataka kutengeneza silaha za nyuklia."
-
Uchaguzi wa Iran ni ishara ya umuhimu wa masanduku ya kura na ushiriki wa wananchi
Mar 05, 2024 01:44Kuhesabiwa kura za uchaguzi wa Awamu ya 12 ya Majlisi ya Ushauri wa Kiisalmu (Bunge la Iran) na uchaguzi wa Awamu ya Sita ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Muadhamu kumemalizika kufuatia kushiriki kwa wingi wananchi katika duru hii ya uchaguzi.
-
Ebrahim Raisi: Usalama wa Iran hautegemei nchi yoyote
Mar 04, 2024 23:40Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, usalama wa taifa la Iran hautegemei nchi yoyote ile.
-
Iran yamnyonga gaidi aliyekuwa akihudumia shirika la kijasusi la Israel, Mossad
Mar 04, 2024 09:44Iran imemnyonga gaidi wa aliyekuwa akitumikia shirika la kijasusi la utawala haramu wa Israel, Mossad ambaye alipanga kutega bomu katika karakana ya Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, katikati mwa Iran.
-
Iran: Juhudi za serikali ya 13 ya Jamhuri ya Kiislamu ni kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Afrika
Mar 04, 2024 03:42Naibu Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya uchumi amesema kuwa, Wizara ya Mambo ya Nje na balozi za Iran nje ya nchi zinafuatilia kwa dhati maendeleo ya ushirikiano wa kiuchumi na nchi za bara la Afrika.
-
Raisi: Chimbuko la jinai za Wazayuni Ghaza linarejea kwenye miaka 75 ya uvamizi wao
Mar 04, 2024 00:04Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kinachojiri leo Ghaza ni mauaji ya kimbari na uhalifu wa kivita, na chimbuko la jinai hiyo linarejea kwenye historia ya miaka 75 ya uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Wazayuni.
-
Kupanua uhusiano wa kitamaduni kati ya Iran na Algeria kwa msingi wa misikiti
Mar 03, 2024 08:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Venezuela yaipongeza Iran kwa kufanikisha uchaguzi
Mar 03, 2024 08:55Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uchaguzi uliofanikiwa. Katika ujumbe wa pongezi uliotumwa kwenye mtandao wa X, zamani wa Twitter, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela, Yvan Gil, alisifu ustaarabu na shauku ya watu wa Iran waliohudhuria uchaguzi huo.
-
Azma ya Iran ya kupanua uhusiano na bara la Afrika
Mar 03, 2024 08:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jana Jumamosi aliwasili Algeria akiongoza ujumbe wa kiuchumi na kisiasa kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano na asasi na jumuiya za kikanda na kimataifa, na pia kupanua uhusiano na nchi za bara la Afrika.
-
Raisi: Iran ipo tayari kuipa Msumbiji uzoefu wa kiufundi na kiuhandisi
Mar 03, 2024 04:10Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ina hamu ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano na mataifa ya Afrika ikiwemo Msumbiji na kuongeza kuwa, kuna haja ya kubuni ramani mpya ya njia na kuamilisha Kamisheni ya Pamoja ya Iran na Msumbiji ili kupiga jeki ushirikiano wa pande mbili.