-
Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran awataka Waislamu wote kusimama dhidi ya Israel
Feb 14, 2024 22:58Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholamhossein Mohseni-Ejei, amesema kuwa Uimwengu wote wa Kiislamu unapaswa usimame dhidi ya utawala haramu wa Israel na kutumia njia zote zilizopo ili kukomesha ushenzi wa utawala huo katika Ukanda wa Gaza ulio chini ya mzingiro.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tuko tayari kufanya mazungumzo ya pamoja ya ulinzi na usalama na Saudi Arabia
Feb 14, 2024 09:18Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran iko tayari kufanya mazungumzo ya pamoja ya ulinzi na usalama na Saudi Arabia.
-
Mokhber: Uwezo wa kielimu na kisayansi wa Iran unatia matumaini
Feb 13, 2024 23:50Makamu wa Kwaza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ni jambo la dharura kutangazwa kwa upana mafanikio na ustawi wa kielimu na kisayansi wa Iran hasa kutokana na kuwa jambo hilo linatia matumaini kwenye nyoyo za wapenzi wa Jamhuri ya Kiislamu na linawakatisha tamaa maadui.
-
Wasomi na wataalamu 3,700 wa Kiirani warejea nchini
Feb 13, 2024 08:51Naibu Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mahusiano ya Kisayansi na Teknolojia anayehusika na Maendeleo ya Sayansi na Rasilimali Watu katika Ofisi ya Rais wa Iran ametangaza habari ya kurejea nchini wasomi na wataalamu 3,700 wa Kiirani katika fremu ya mradi uliopewa jina la "Connect".
-
Iran: Kupanua jinai za vita dhidi ya Wapalestina wa Rafah kutakuwa na madhara makubwa kwa utawala wa Kizayuni
Feb 13, 2024 04:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa onyo kali kwa mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuuvamia mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza na kusema kuwa utakuwa na madhara makubwa kwa utawala huo.
-
Iran yazindua kombora la balestiki la masafa marefu
Feb 12, 2024 23:41Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza habari ya kufanyia majaribio kwa mafanikio kombora la masafa marefu lililovurumishwa kutoka kwenye moja ya manowari za kivita za jeshi hilo la Iran.
-
22 Bahman mahudhurio ya hamasa ya Wairan na sisitizo la kusimama kidete
Feb 12, 2024 07:46Jumapili ya jana, tarehe 22 Bahman (Februari 11) ilisadifiana na maadhimisho ya mwaka wa 45 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Israel haina uwezo wa kuendeleza vita Gaza hata kwa siku 1 bila ya uungaji mkono wa Marekani
Feb 12, 2024 07:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesisitiza kuwa, iwapo Marekani itaacha kuuunga mkono utawala wa Kizayuni, utawala huo hautoweza kuendeleza vita dhidi ya Gaza hata kwa siku moja.
-
Viongozi wa dunia, maafisa wakuu waipongeza Iran kwa maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2024 04:40Viongozi kadhaa wa dunia na maafisa wakuu na wizara za mambo ya nje wanaendelea kuipongeza serikali na taifa la Iran kwa kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mamilioni ya Wairani waadhimisha Mapinduzi ya Kiislamu, wasema yamehuisha Umma wa Kiislamu
Feb 11, 2024 08:43Mamilioni ya wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini wametangaza kuwa: Mapinduzi ya Kiislamu yameibua roho mpya katika mwili wa Umma wa Kiislamu na kupanua zaidi mapambano ya kupinga dhulma na uonevu.