-
Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi na kutetea haki za binadamu
Feb 11, 2024 08:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ndiyo kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi na kutetea haki za binadamu.
-
Rekodi ya Iran katika ustawi wa watu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2024 07:35Maendeleo ya pande zote ya Iran tangu baada tu ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ndilo jambo ambalo lilitiliwa mkazo mno na Imam Khomeini, MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na yanaendelea kupewa umuhimu mkubwapia hivi sasa na Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Wairani wanashiriki maandamano ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2024 04:11Mamilioni ya wananchi wa Iran wanashiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imamu Ruhullah Khomeini (MA).
-
Iran inaadhimisha miaka 45 ya ushindi ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2024 01:03Wananchi wa Iran leo wanaadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea 1979.
-
Shirikisho la Soka la Iran laitaka FIFA kuipiga marufuku Israel katika michezo
Feb 11, 2024 00:50Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limelitaka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kusitisha shughuli zote za soka za utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na utawala huo kutenda jinai huko Gaza.
-
Viongozi wa muqawama wa Palestina waonana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Feb 10, 2024 07:11Viongozi wa makundi ya muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina wameonana na Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran mjini Beirut Lebanon na kusema kuwa, kadiri muda unavyokwenda ndivyo unavyozidi kuwa kwa manufaa ya kambi ya muqawama na ndivyo ushindi wa taifa la Palestina unavyozidi kujitokeza wazi.
-
Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso: Iran ni kigezo cha muqawama
Feb 10, 2024 07:11Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso ameshiriki katika sherehe za madhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kigezo bora cha utawala, muqawama, ushujaa na mapambano.
-
Iran yaonya kuhusu uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Israel
Feb 09, 2024 23:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya vikali Marekani dhidi ya kuendelea kuiunga mkono Israel na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu.
-
Abu Turabi Fard: Kuhudhuria maandamano ya 22 ya Bahman maana yake ni kuwa upande wa mhimili wa muqawama
Feb 09, 2024 10:55Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiiza kuwa, mahudhurio ya hamasa ya maandamano ya 22 Bahman ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran maana yake ni kuwa pamoja na mashahidi watukufu, majeruhi wa vita, mateka walioachiliwa huru wenye subira na tabala la kujitolea hapa nchini.
-
Muendelezo wa juhudi za Iran katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Feb 09, 2024 04:44Mkuu wa Polisi wa Iran, ameeleza kuridhishwa kwake na juhudi za kitengo cha kupambana na dawa za kulevya cha kikosi hicho, na kusema jeshi hilo liangamiza watu 230 waliokuwa wahusika wakuu katika biashara haramu ya dawa za kulevya na wakati huo huo kunasa tani 500 za afyuni katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.