-
Kan'ani: Vitendo vya kigaidi vya Marekani vinahudumia malengo ya Israel
Feb 09, 2024 04:10Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hatua ya jeshi la magaidi la Marekani ya kumuuwa shahidi mmoja wa viongozi wa harakati ya wapiganaji wa kujitolea ya Iraq ni katika mlolongo wa kudumisha himaya na uungaji mkono kamili wa serikali ya Marekani kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
-
Ebrahim Raisi: Mauaji ya kimbari Gaza ni ishara ya kutofanya kazi ipasavyo asasi za kimataifa
Feb 08, 2024 23:53Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza ni ishara ya kutokuwa na utendaji wa maana asasi za kimataifa.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Sera ya Iran ni kutuliza hali ya mambo katika eneo
Feb 08, 2024 08:43Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: sera ya Iran ni kutuliza hali ya mambo katika eneo na kupunguza mivutano na mapigano.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mapinduzi ya Kiislamu ni matunda ya kuitikia wito wa Utume
Feb 08, 2024 07:54Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, Mapinduzi ya Kiislamu ni matunda ya kuitiklia wito wa Utume.
-
Rais Raisi: Ni haki ya taifa la Iran kunufaikia na matumizi ya amani ya nishati ya nyuklia
Feb 07, 2024 23:33Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza na mabalozi wa nchi mbalimbali waliopo hapa Tehran na kutilia mkazo wajibu wa kila taifa kufaidika na nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani na kwamba ni haki ya taifa la Iran pia kunufaika na nishati hiyo.
-
Msomi Mnigeria: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni dhihirisho la kupigania uhuru duniani
Feb 07, 2024 23:33Mwanasiasa na mwandishi mashuhuri wa Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (RA) ni kigezo cha wapigania uhuru kote duniani ili kuzifanya nchi zao kuwa huru.
-
Mafanikio ya Iran katika siasa za ndani za kipindi cha miaka 45 iliyopita
Feb 07, 2024 23:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepata mafanikio makubwa katika siasa zake za ndani na nje kwenye kipindi cha miaka 45 ya Mapinduzi ya Kiislamu humu nchini.
-
Eslami: Iran imejitosheleza katika sekta ya nyuklia
Feb 07, 2024 07:30Mohammad Eslami Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema, leo hii sekta ya nyuklia ya Iran hususan katika uga wa mzunguko wa mafuta ya nyuklia imejitosheleza na sasa inategemea wataalamu wa ndani ya nchi kikamilifu.
-
Kampuni ya Iran yazalisha bendeji za EB ZA ugonjwa adimu wa ngozi
Feb 07, 2024 07:21Kampuni ya kimaarifa ya kimatibabu ya Iran imeweza kuzalisha bendeji maalumu kwa wagonjwa wanaougua ugonjwa wa ngozi wa Epidermolysis Bullosa (EB), ugonjwa adimu wa kurithi ambao husababisha ngozi kuwa tete na kujeruhiwa kwa urahisi.
-
Iravani akanusha tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya vikosi vya ulinzi vya Iran
Feb 07, 2024 02:21Amir Saeid Iravani Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa Iran inakanusha vikali tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.