-
Rais wa Iran awasili Pakistan katika ziara ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara na usalama
Apr 22, 2024 03:12Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad katika ziara rasmi ya kikazi yenye lengo la kuimarisha usalama na uhusiano wa kibiashara kati ya nchi mbili.
-
Mufti Mkuu wa Russia: Kiongozi Muadhamu wa Iran anastahiki kupongezwa
Apr 21, 2024 23:02Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu ya Russia amesema kuwa, mwito unaotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei wa kuwataka watu wote duniani kuthamini masuala ya kidini na kimaadili unastahiki kupongezwa.
-
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran ashukuru majeshi kwa utendaji mzuri katika matukio ya hivi karibuni
Apr 21, 2024 08:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Vikosi vya kijeshi vimeonyesa taswira nzuri ya uwezo na mamlaka yao, na pia taswira yenye kupongezwa ya taifa la Iran, sambamba na kuthibitisha kuibuka kwa uwezo wa irada wa taifa la Iran katika uga wa kimataifa.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman: Vita Ukanda wa Gaza visitishwe haraka iwezekanavyo
Apr 21, 2024 04:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na mwenzake wa Oman wamesisitiza juu ya haja ya kutekelezwa juhudi za kimataifa ili kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni, kufikiwa mapatano ya usitishaji vita na kutumwa haraka misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa Gaza.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wafanya mazungumzo kwa njia ya simu
Apr 20, 2024 22:53Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini wamezungumza kwa njia ya simu na kujadili matukio ya hivi punde zaidi katika uhusiano wa pande mbili na hali ya eneo la Asia Magharibi, hususan baada ya jibu halali la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mashambulizi ya hivi karibuni ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni kwenye ubalozi wa Iran huko Damascus, Syria.
-
Iran yaitoza Marekani faini ya dola bilioni moja kwa kuunga mkono jinai za utawala wa Kipahlavi
Apr 20, 2024 22:49Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitoza Marekani faini ya dola bilioni moja kwa kuunga mkono jinai za utawala wa Kipahlavi uliokuwa madarakani Iran kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979.
-
Tehran: Vyombo vya habari vya Magharibi vinajaribu kugeuza kushindwa Israel kuwa ushindi
Apr 20, 2024 04:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian amesema kuwa quadcopter tatu za kigeni (videge vigogo visivyo na rubani) zilizotunguliwa na walinzi wa anga wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji wa kati wa Isfahan hazikusababisha uharibifu wala majeruhi yoyote ndani ya nchi.
-
Iran yalaani veto ya Marekani dhidi ya uanachama kamili wa Palestina UN
Apr 20, 2024 03:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kura ya turufu ya Marekani dhidi ya rasimu ya azimio iliyotaka Palestina ipewe uanachama kamili katika Umoja wa Mataifa.
-
Iran na Uturuki zatilia mkazo wajibu wa kukomeshwa haraka mashambulizi huko Ghaza
Apr 19, 2024 23:29Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamehimiza na kutilia mkazo udharura wa kukomeshwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Sheikh Akbari: Operesheni ya Ahadi ya Kweli ni Kimbunga cha al Aqsa cha Iran
Apr 19, 2024 07:53Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema kuwa, operesheni iliyofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kulipiza kisasi jinai za Israel ilikuwa ni kimbunga cha al Aqsa cha Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni na ni operesheni ya kujivunia na kujifakharisha nayo.