-
Mahakama ya Uswidi yamhukumu kisiasa Hamid Nouri
Dec 20, 2023 07:34Siku ya Jumanne, Mahakama ya Rufaa ya Uswidi, katika hatua ya kisiasa na iliyo mbali na mchakato wa kisheria, ilithibitisha hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa raia wa Iran Hamid Nouri.
-
Spika wa Iran: Ngano ya kwamba utawala wa Kizayuni haushindiki imebaki kuwa historia
Dec 19, 2023 09:44Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ngano ya kwamba utawala wa Kizayuni haushindiki imebaki kuwa historia na kusisitiza kuwa, uungaji mkono wote wa nchi za Magharibi na Marekani hautaweza kuuokoa na kuutoa utawala huo kwenye kinamasi ulichonasa ndani yake.
-
Amir Abdollahian: Ushirikiano wa karibu wa Iran na Qatar ni dhihirisho la kuaminiana kati ya nchi mbili
Dec 19, 2023 04:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amsema kuwa ushirikiano wa karibu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar katika changamoto na masuala mbalimbali ya kimataifa na kikanda unaonyesha hali ya kuaminiana iliyopo kati ya nchi mbili.
-
Ali Shamkhani: Ansarullah ya Yemen imeweka mashinikizo kwenye mshipa mkuu wa Wazayuni
Dec 18, 2023 23:05Mshauri wa masuala ya kisiasa wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Hatua ya kijasiri ya Ansarullah ya Yemen ya kuzuia usafirishwaji wa meli hadi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) imeweka mashinikizo katika mshipa mkuu Wazayuni.
-
Iran yatuma vikosi na zana za kijeshi katika mpaka wa kaskazini
Dec 18, 2023 07:41Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Iran ametangaza habari ya kutumwa wanajeshi na zana za kivita katika mpaka wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ili kupiga jeki operesheni za kukabiliana na makundi ya kigaidi yalioazimia kuvuruga usalama wa taifa hili.
-
Kuundwa miundombinu ya pamoja kati ya Irani na Russia kwa ajili ya kuimarisha mashirika yenye msingi wa maarifa
Dec 18, 2023 03:50Mkuu wa Shirika la Maendeleo na Biashara la Iran ametilia mkazo juu ya kuundwa miundombinu ya pamoja kati ya Iran na Russia kwa ajili ya kuboresha mashirika ya msingi wa maarifa.
-
Pakistan yalaani shambulio la kigaidi katika jimbo la Sistan na Baluchestan nchini Iran
Dec 18, 2023 02:55Serikali ya Pakistani Jumapili ililaani shambulio la kigaidi katika kituo cha polisi katika kaunti jirani ya Rask kusini mashariki mwa Iran, ambalo lilisababisha vifo vya watu 11 na kupelekea wengine kadhaa kujeruhiwa
-
Uungaji mkono usio na kikomo wa US na UK kwa utawala wa Kizayuni; kuanzia misaada ya kila hali mpaka uwekaji vikwazo dhidi ya Muqawama
Dec 18, 2023 02:42Serikali za Marekani na Uingereza zinazojinasibu kuwa watetezi wa haki za binadamu, mara hii zimeendeleza uungaji mkono wao kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza kwa kuwawekea vikwazo vipya makamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Iravani: Kurefuka vita vya Gaza kunazidisha gharama za himaya Marekani kwa Israel
Dec 17, 2023 08:00Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameionya serikali ya Joe Biden akisema: "Gharama za misaada na himaya ya Marekani kwa Israel zitaongezeka kwa kasi kutokana na kuendelea kwa vita na mashambulizi ya Israel Ukanda wa Gaza."
-
Ahmad Vahidi: Makundi ya kigaidi yanaungwa mkono na utawala wa Kizayuni
Dec 17, 2023 04:26Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kuwa, makundi ya kigaidi yanayotaka kuvuruga amani, usalama na umoja wa wananchi wa mkoa wa Sistan na Baluchistan nchini Iran yanaungwa mkono na utawala wa Kizayuni wa Israel.