-
Iran yaiambia G7: Acheni kuunga mkono mauaji ya watoto Gaza
Nov 09, 2023 23:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewakosoa vikali Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Kundi la G7 kwa kutoa taarifa ya pamoja ya kuilaani Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (Hamas) sambamba na kuunga mkono mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Raisi: Leo hii, kuunga mkono Palestina na watu wanaodhulumiwa wa Gaza ni kigezo cha heshima kwa mataifa
Nov 09, 2023 11:22Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi zinazoinukia kiuchumi na nchi zinazoendelea zina uwezo mkubwa zaidi kuliko wakati mwingine wowote katika kuchangia msingi wa mfumo mpya wa dunia.
-
Amir-Abdollahian: Wakati wa kuendelea jinai za Israel huko Gaza unakaribia mwisho
Nov 09, 2023 10:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muda kuendelea jinai za Israel katikak Ukanda wa Gaza unazidi kuyoyoma haraka.
-
Meja Jenerali Salami: Gaza ni kaburi la Marekani na utawala wa Kizayuni
Nov 09, 2023 09:47Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, hii leo Gaza imekuwa uwanja wa kuzikia Marekani na utawala wa Kizayuni, na utawala naoikalii kwa mabavu Quds hauwezi kurejesha nguvu zake zilizopotea.
-
Rais wa Iran atoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Israel ikomeshe vita dhidi ya Gaza
Nov 09, 2023 01:04Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuzidisha juhudi za kusitisha mashambulizi ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza, akisema dunia nzima ina wasiwasi kuhusu hali ya eneo hilo dogo lililozingirwa.
-
Iran yataka hatua zichuliwe baada ya Israel kukiri kumiliki silaha hatari za nyuklia
Nov 08, 2023 23:00Mkuu wa Shirika la NIshati ya Atomiki la Iran ametoa wito wa kulaaniwa kimataifa matamshi ya hivi karibuni ya waziri mmoja wa utawala haramu wa Israel ambaye alitamka wazi kuwa kuna uwezekano wa kudondoshwa bomu la nyuklia huko Gaza, kauli ambayo inathibitisha kwamba, utawala huo unamiliki silaha za nyuklia.
-
Hati 18 za ushirikiano na taarifa ya pamoja zatiwa saini kati ya Iran na Tajikistan
Nov 08, 2023 09:55Marais na maafisa wa ngazi za juu wa Iran na Tajikistan wametia saini taarifa ya pamoja na hati 18 za ushirikiano baina ya pande mbili.
-
IRGC: Kushindwa Israel kutaleta amani na usalama duniani
Nov 08, 2023 02:54Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) sambamba na kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza amesema kuwa, kushindwa utawala wa Kizayuni na kuporomoka kwa Marekani, ni chanzo cha kupatikana amani na usalama duniani.
-
Qalibaf: Mataifa ya Kiislamu yasimamishe mashambulizi ya Wazayuni
Nov 08, 2023 00:03Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kinyama utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusisitiza kuwa, mataifa ya Kiislamu yana wajibu wa kusimamisha dhulma na hujuma hizo za kikatili za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Abdollahian aiambia US: Acheni mauaji ya kimbari, undumakuwili Gaza
Nov 07, 2023 10:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani ambayo kwa upande mmoja inadai kuwa inataka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, na kwa upande mwingine inaendelea kuunga mkono utawala wa Kizayuni ambao unaendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililo chini ya mzingiro.