-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Kuongezeka Waislamu wanaounga mkono muqawama wa Palestina ni dhihirisho la Mwamko wa Kiislamu
Oct 13, 2023 08:41Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa kujitokeza wimbi kubwa na uungaji mkono wa Waislamu katika maeneo mbalimbali duniani kwa mapambano ya wananchi wa Palestina ni jambo lenye baraka na la kusifiwa linalodhihirisha mwamko wa Kiislamu.
-
Azimio la mwisho katika maandamano ya Iran ya kulaani jinai za utawala wa Kizayuni
Oct 13, 2023 08:30Washiriki wa maandamano ya leo hapa nchini ya kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wamewasilisha azimio mwishoni mwa maandamano hayo na kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina yafanyika Iran
Oct 13, 2023 08:20Maandamano ya wananchi wa Iran ya Kiislamu ya kuwaunga mkono wananchi waliodhulumika wa Palestina yamefanya leo kote nchini.
-
Iran yakanusha madai ya kuendelea kuzuiliwa fedha zake zilizoachiwa
Oct 13, 2023 03:44Ofisi ya Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imekadhibisha ripoti iliyochapishwa na gazeti la Washington Post kuwa, Marekani na Qatar zimeafikiana kuzuia fedha za Iran zilizoachiwa hivi karibuni, ambazo zilikuwa zinashikiliwa nchini Korea Kusini kutokana na vikwazo.
-
Iran: Mapambano dhidi ya Israel yanaweza kuchukua mkondo mpana
Oct 13, 2023 00:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo yameutumbukiza Ukanda wa Gaza katika vita haribifu na vya kuogofya, huenda yakachukua mikondo mipya na mipana zaidi.
-
Mapokezi makubwa ya Sheikh Ibrahim Zakzaky nchini Iran +VIDEO
Oct 12, 2023 10:08Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria alivyolakiwa na umati mkubwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
-
Jinsi Sheikh Zakzaky alivyopokewa Iran+VIDEO
Oct 12, 2023 10:05Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano na kulakiwa umati mkubwa wa wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
-
Spika wa Iran azungumza na maspika wa nchi 7 za Kiislamu kuhusu jinai za Wazayuni Palestina
Oct 12, 2023 10:00Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amefanya mazungumzo ya simu kwa nyakati tofauti na maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu za Uturuki, Algeria, Syria, Imarati, Lebanon, Oman na Kuwait na kuwahimiza wajibu wa kuchukuliwa hatua za haraka za kukomesha jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza huko Palesitna.
-
Raisi: Kinachotokea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ni kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu
Oct 12, 2023 08:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Kile kinachotokea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Ukanda wa Ghaza dhidi ya raia wa Palestina ni kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu.
-
Katika mazungumzo yao ya kwanza: Rais wa Iran na Mwanamfalme wa Saudia wajadili hali ya Gaza
Oct 12, 2023 05:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia wamezungumza kwa njia ya simu kuhusu matukio ya Palestina na ulazima wa kusitishwa jinai za kivita zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.