Jinsi Sheikh Zakzaky alivyopokewa Iran+VIDEO
Oct 12, 2023 13:35 UTC
Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano na kulakiwa umati mkubwa wa wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)