-
Pezeshkian: Iran iko tayari kupanua mahusiano na Afrika katika nyanja zote
Apr 27, 2025 13:17Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, IIran iko tayari kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika nyanja zote.
-
Mipango na malengo makubwa ya Iran kwa ajili ya kushirikiana na nchi za Kiafrika
Apr 21, 2025 09:11Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeratibu mipango na kuainisha malengo yake kwa ajili ya ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi na bara la Afrika.
-
Nigeria yalaaniwa kwa kukandamiza waandamanaji wa Siku ya Quds
Mar 30, 2025 11:12Baraza la Uratibu wa Tablighi ya Kiislamu la Iran limetoa taarifa ya kulaani ukandamizaji waliofanyiwa Waislamu wa Nigeria wakati wa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds na kuandika: "Ukandamizaji na kumwagwa damu za waandamanaji wa Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Nigeria na kuuawa shahidi kidhulma Waislamu 18 waliokuwa kwenye saumu ya Ramadhani kunaonesha hofu ya watawala wa Nigeria kuhusu mwamko wa Waislamuj na nafasi ya kiistratijia ya Siku ya Kimataifa ya Quds duniani."
-
Iran yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua 44 msikitini Niger
Mar 23, 2025 10:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei amelaani vikali shambulio la kigaidi la karibuni dhidi ya msikiti mmoja kusini magharibi mwa Niger.
-
Iran inafuatilia malengo gani katika kupanua uhusiano na nchi za Afrika?
Mar 14, 2025 02:28Kikao cha kubadilishana mawazo cha Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Iran na Afrika kimefanyika mjini Tehran, kwa uratibu wa Shirika la Maendeleo ya Biashara, kikihudhuriwa na mabalozi na wawakilishi wa nchi za Afrika.
-
Kuwa tayari Iran kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika
Mar 02, 2025 02:33Mshauri na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia na kusisitiza kuwa Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na Ethiopia na nchi za Kiafrika kwa ujumla.
-
Pezeshkian: Iran inakaribisha kuhuishwa uhusiano wake na Sudan
Feb 19, 2025 12:11Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Jamhuri ya Kiislamu inakaribisha kwa mikono miwili kurejeshwa kwa uhusiano wa nchi hii na Sudan, akisisitiza kuwa nchi za Kiislamu zinapaswa kuepuka mivutano na kukata uhusiano baina yao.
-
Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yamebadilisha utaratibu wa dunia: Mhadhiri mwandamizi wa Ghana
Feb 01, 2025 12:56Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Ghana Dk Munir Mustapha amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha mfumo wa dunia na ameyataja kuwa ndiyo yenye nguvu kubwa na ambayo yamekuwa na taathira kubwa imeyozidisha ushawishi wa Iran katika eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumbe wake wa demokrasia ya kidini.
-
Iran yasikitishwa na shambulio la droni lililoua 70 hospitalini Darfur, Sudan
Jan 27, 2025 12:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei amelaani shambulio la ndege isiyo na rubani dhidi ya hospitali moja katika mji wa El Fasher katika mkoa wa magharibi wa Darfur nchini Sudan, na kusababisha vifo vya makumi ya watu.
-
Ghalibaf: Changamoto ya uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Afrika ni usafiri
Jan 17, 2025 07:21Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameyataja matatizo ya usafiri kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa katika kupanua uhusiano wa kiuchumi wa Iran na bara la Afrika akisema: Uwezo wa kimataifa kama wa kundi la BRICS na Shanghai ni fursa muhimu za kustawisha ushirikiano wa kiuchumi.