-
Maspika wa Mabunge ya Iran na Tanzania wataka kuimarisha ushirikiano wa Kibunge
Jul 31, 2025 09:43Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU).
-
Iran iko tayari kusaidia Kenya kujenga nyumba milioni moja
Jun 08, 2025 01:56Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa tayari kuisaidia Kenya kujenga nyumba milioni moja za bei nafuu nchini humo.
-
Waziri Araghchi yupo Misri kujadili Gaza, uhusiano wa Tehran-Cairo
Jun 02, 2025 03:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi yuko katika mji mkuu wa Misri, Cairo, kwa ajili ya kufanya mazungumzo na maafisa wakuu wa nchi hiyo, juu ya uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Misri pamoja na maendeleo katika eneo la Asia Magharibi, yakiwemo mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
-
Je, Iran na nchi za Afrika zinawezaje kukamilishana kiuchumi?
May 27, 2025 07:31Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa serikali ya Iran inalipa kipaumbele maalumu suala la mahusiano na bara la Afrika, na ameonesha matumaini ya mustakabali mwema katika ushirikiano wa pande mbili.
-
Spika Qalibaf: Iran, Algeria zinahitaji kufanya kazi kusaidia usambazaji wa misaada Gaza
May 15, 2025 08:31Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amesema Iran na Algeria zinahitaji kufanya kazi ili kusaidia juhudi za kufikisha misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza uliokumbwa na vita.
-
Iran yahimiza kukomeshwa ghasia katika mji mkuu wa Libya, Tripoli
May 15, 2025 08:14Iran imeelezea wasiwasi wake kuhusu mapigano makali yanayoendelea kati ya makundi yenye silaha katika mji mkuu wa Libya Tripoli, ikitaka kusitishwa mara moja ghasia na umwagaji damu.
-
Iran, Misri zataka kukomeshwa mashambulizi ya Israel huko Gaza
May 13, 2025 23:16Wanadiplomasia wakuu wa Iran na Misri wamesisitiza kuwa kuna haja ya kukomeshwa mashambulizi ya utawla wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Tanzania kunufaika na uwezo wa kiteknolojia wa Iran + Video
May 06, 2025 03:45Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika, ulifanyika kuanzia Aprili 27 hadi Mei 1, 2025 jijini Tehran kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 38 na wajumbe 51 rasmi. Mkutano huo pia ulifanyika sambamba na maonyesho ya uwezo wa kiuchumi wa Iran yajulikanayo kama IRAN EXPO 2025.
-
Aref: Msingi wa kuimarika uhusiano wa Iran, Niger ni Mapinduzi ya Kiislamu
Apr 29, 2025 23:03Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Mohammad-Reza Aref amesema Jamhuri ya Kiislamu imekuwa ikitekeleza sera yake ya kukuza uhusiano na Niger na mataifa mengine ya bara la Afrika kwa kuzingatia thamani na maadili ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Pezeshkian: Iran iko tayari kupanua mahusiano na Afrika katika nyanja zote
Apr 27, 2025 09:47Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amezungumzia uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, Iran iko tayari kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika nyanja zote.